Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

[emoji1] [emoji1] mkuu unamaanisha mond kala kuku na mayai yake
 
Mtoto hawezi kuwa wa sirini milele, akikua then itafahamika ila sio busara kuleta migogoro isio na msingi
 
Ndo shida kuchukua viroboto, huyu bwana standard na high class yote zari aliyomuweka kaipukutisha km majani. Ye kazoea vya Tandaleeeee
Kabisa yani na Zari sijui kama ata take more shit from this one...toka mapenzi yao yachanue ni dramas tu kila uchao, maisha yao yametawaliwa na umbea na chuki binafsi za wabongo wakuda instagram.
 
Ha
hahahahah thanks, una kichwa chepesi sana sina doubt hata shule ulifanya vizuri sana
 
Diamond kamkubali mtoto kwa sababu kulikuwa hamna namna , it was the only move left for him ili asionekane mbaya kwa jamii lakini mimi bado namuona hana tofauti na baba yake (mzee Abdul mwenyewe)
 
Alichokifanya diamond ni kitu ambacho Mtu yoyote angefanya kama yangemkuta. ..ila nakuambia dai hawezi acha kumt.omb.a hamisa huu ni upepo tu unapita
 
kdc, kumbe wewe ni kaka?! Kama ni kaka basi utakuwa kavulana fulani hivi ambae bado hujakua!!!

Alichofanya Diamond asilimia kubwa ya wanaume wakipiga mimba nje ndicho wanachofanya!!! There's no way mwanaume mwenye familia anaweza kukubali mimba kirahisi rahisi hadharani! Hata pale unapokuta mwanaume anafariki kisha wanajitokeza watoto wasiofahamika; kimsingi inakuwa ndo kama hivi! Kwamba, baba mpiga mimba anakubali ku-take responsibility with a condition iwe siri na wife asijue!!

Sasa tatizo linakuja kama uliyempiga mimba mwenyewe ni mwanamke mwenye tabia za kiswahili! Hata kama mmekubaliana, lazima atatafuta namna ya kumuonesha wife wako kwamba umezaa nae! Wife atavaliwa kanga za mafumbo hapo hadi atagundua tu kwamba hapa hali si hali!! Yaani kama alivyofanya Hamisa kwa ku-implement uswahili kidijitali!!!
 
Mm nimemuelewa vizur mond kasema alimwambia hamisa abuni mradi wa biashara kwa ajili ya mtoto wao lkn kutokana na ujinga wa hamisa kaona et amkomoe zari wakati mond amesema kabisa ye hawezi achana na zari, mwishowe kaonekana mjinga yeye
Yani ile ilikuwa kula na kipofu. Mama mtoto wetu asiteseke gari ya clinic,,,70k kila siku about 500k a week...Labour private dola 3500 akakabidhiwa kwa specialist akajifungue salama...Haya kama haitoshi mtoto kashazaliwa akaambiwa mama angalia basi biashara gani itafaa uweze endesha maisha yako na mtoto vizuri nitakupa mtaji. Japo yalitokea bila kuwa planned ila jamaa aliomba privacy tu ili asivuruge image yake ikiwa ana mwanamke official tayari ndani bi.Zarina hassan.

Hivi ni ubinadamu na uwajibikaji kiasi gani jamaa amefanya kama mzazi wa mtoto hapo mpaka kufikia kuona kuwa eti kuna haja ya ku expose privacy alioomba ummpe kama sio kukosa akili.? Hamisa ni mswahili tu...!
 
Wanawake wenye akili za hamisa ndo watakubali huu upuuzi aloufanya
 
kitu muhimu kwake zilikuwa ni details za bank na waliotaka kukorofishana naye ni waliozidai
afu mshikaji we zwazwa kweli..Ulitaka aache mali za wanawe zichukuliwe na watu wengine??? zari ni mwanamke strong na ndio maana amekuwa imara kuilea familia yake na hata wale watoto wake wakubwa
 
Malaya haridhika wala hafugiki,hawara nae anataka jamii imjue sijui ndio maajabu wa mwanamke wa kiswahili.
Hivi angenyamaza tu angekula kimyakimya ila kakaa na wauzaji wenzie ndio wakamjaza maneno atoe picha

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…