Yani ile ilikuwa kula na kipofu. Mama mtoto wetu asiteseke gari ya clinic,,,70k kila siku about 500k a week...Labour private dola 3500 akakabidhiwa kwa specialist akajifungue salama...Haya kama haitoshi mtoto kashazaliwa akaambiwa mama angalia basi biashara gani itafaa uweze endesha maisha yako na mtoto vizuri nitakupa mtaji. Japo yalitokea bila kuwa planned ila jamaa aliomba privacy tu ili asivuruge image yake ikiwa ana mwanamke official tayari ndani bi.Zarina hassan.
Hivi ni ubinadamu na uwajibikaji kiasi gani jamaa amefanya kama mzazi wa mtoto hapo mpaka kufikia kuona kuwa eti kuna haja ya ku expose privacy alioomba ummpe kama sio kukosa akili.?