Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Huyo hamisa ni mrahisi kuliko maelezo yani mnyama mkali yeye na maza wke,ticket ya ndege go n return unapewa mbunye na mengineo.
Mwanamke wa hivyo hafugiki kma kunguru wa dar,istoshe mama yke nae mrahisi kinoma yani unapiga mama na mtoto ngoja niishie hpa
[emoji1] [emoji1] mkuu unamaanisha mond kala kuku na mayai yake
 
Sasa hivi ndo ameweka mazingira mazuri kati ya baba na mtoto na hata ndugu zake wa south, kila kitu kiko wazi mtoto analelewa kwa raha zake. Kwani kipi ni kibaya dai kumuweka mtoto wake wazi, me siwaelewi ujue? Hivi mtoto akikua akijua yeye ni wa sirini na akijua yeye ni wa public pia, kipi ni kizuri kwake?
Mtoto hawezi kuwa wa sirini milele, akikua then itafahamika ila sio busara kuleta migogoro isio na msingi
 
Ndo shida kuchukua viroboto, huyu bwana standard na high class yote zari aliyomuweka kaipukutisha km majani. Ye kazoea vya Tandaleeeee
Kabisa yani na Zari sijui kama ata take more shit from this one...toka mapenzi yao yachanue ni dramas tu kila uchao, maisha yao yametawaliwa na umbea na chuki binafsi za wabongo wakuda instagram.
 
Ha
Tuishie hapa hatutaweza kuelewana. Motive ya Hamisa ipo clear kabisa why alitaka mtoto awe public which was not malezi ni ujinga tu wa Instagram. As a matter of fact hakuna mtoto wa maarufu na maarufu atafichika forever rather wangeagree diplomatic way ya kusolve issues for the baby na sio huu ujinga alofanya.
Mtoto atatunzwa kama mwanzo na muda ukifika baba eke atamchukua, afanye hima kuzaa mtoto wa tatu child support itop up...
Uterus yake mtaji wake tatizo hana nyota ya kuekwa ndani. Aendelee tu kudanga.
Nice dayyyyy.
hahahahah thanks, una kichwa chepesi sana sina doubt hata shule ulifanya vizuri sana
 
Diamond kamkubali mtoto kwa sababu kulikuwa hamna namna , it was the only move left for him ili asionekane mbaya kwa jamii lakini mimi bado namuona hana tofauti na baba yake (mzee Abdul mwenyewe)
 
Alichokifanya diamond ni kitu ambacho Mtu yoyote angefanya kama yangemkuta. ..ila nakuambia dai hawezi acha kumt.omb.a hamisa huu ni upepo tu unapita
 
Screenshot_2017-09-19-15-27-03-7.png
 
Dah haya bhana mie ni kaka sijui wewe.ila nasikia uchungu sana pale mbele za watu unakana mimba ukitoka hapo unanitumia pesa ya matumizi.ningekua Hamisa nisingezipokea hadi asafishe jina langu kwenye jamii.Dhambi hii tumefanya wawili kwanini mimi nidhalilishwe kisa ndoa yako kwani wakati tunafanya kujua Zari yupo?
kdc, kumbe wewe ni kaka?! Kama ni kaka basi utakuwa kavulana fulani hivi ambae bado hujakua!!!

Alichofanya Diamond asilimia kubwa ya wanaume wakipiga mimba nje ndicho wanachofanya!!! There's no way mwanaume mwenye familia anaweza kukubali mimba kirahisi rahisi hadharani! Hata pale unapokuta mwanaume anafariki kisha wanajitokeza watoto wasiofahamika; kimsingi inakuwa ndo kama hivi! Kwamba, baba mpiga mimba anakubali ku-take responsibility with a condition iwe siri na wife asijue!!

Sasa tatizo linakuja kama uliyempiga mimba mwenyewe ni mwanamke mwenye tabia za kiswahili! Hata kama mmekubaliana, lazima atatafuta namna ya kumuonesha wife wako kwamba umezaa nae! Wife atavaliwa kanga za mafumbo hapo hadi atagundua tu kwamba hapa hali si hali!! Yaani kama alivyofanya Hamisa kwa ku-implement uswahili kidijitali!!!
 
Mm nimemuelewa vizur mond kasema alimwambia hamisa abuni mradi wa biashara kwa ajili ya mtoto wao lkn kutokana na ujinga wa hamisa kaona et amkomoe zari wakati mond amesema kabisa ye hawezi achana na zari, mwishowe kaonekana mjinga yeye
Yani ile ilikuwa kula na kipofu. Mama mtoto wetu asiteseke gari ya clinic,,,70k kila siku about 500k a week...Labour private dola 3500 akakabidhiwa kwa specialist akajifungue salama...Haya kama haitoshi mtoto kashazaliwa akaambiwa mama angalia basi biashara gani itafaa uweze endesha maisha yako na mtoto vizuri nitakupa mtaji. Japo yalitokea bila kuwa planned ila jamaa aliomba privacy tu ili asivuruge image yake ikiwa ana mwanamke official tayari ndani bi.Zarina hassan.

Hivi ni ubinadamu na uwajibikaji kiasi gani jamaa amefanya kama mzazi wa mtoto hapo mpaka kufikia kuona kuwa eti kuna haja ya ku expose privacy alioomba ummpe kama sio kukosa akili.? Hamisa ni mswahili tu...!
 
Yani ile ilikuwa kula na kipofu. Mama mtoto wetu asiteseke gari ya clinic,,,70k kila siku about 500k a week...Labour private dola 3500 akakabidhiwa kwa specialist akajifungue salama...Haya kama haitoshi mtoto kashazaliwa akaambiwa mama angalia basi biashara gani itafaa uweze endesha maisha yako na mtoto vizuri nitakupa mtaji. Japo yalitokea bila kuwa planned ila jamaa aliomba privacy tu ili asivuruge image yake ikiwa ana mwanamke official tayari ndani bi.Zarina hassan.

Hivi ni ubinadamu na uwajibikaji kiasi gani jamaa amefanya kama mzazi wa mtoto hapo mpaka kufikia kuona kuwa eti kuna haja ya ku expose privacy alioomba ummpe kama sio kukosa akili.?
Wanawake wenye akili za hamisa ndo watakubali huu upuuzi aloufanya
 
kitu muhimu kwake zilikuwa ni details za bank na waliotaka kukorofishana naye ni waliozidai
afu mshikaji we zwazwa kweli..Ulitaka aache mali za wanawe zichukuliwe na watu wengine??? zari ni mwanamke strong na ndio maana amekuwa imara kuilea familia yake na hata wale watoto wake wakubwa
 
kauzi kanakimbia kweli mondi nizaidi ya baba jesca,,,hamisa ni mrembo asiyekuwa na akili tho, kwani mtoto familia ya mondi ikishamjua si inatosha kwani sisi watanzania au the rest tunachangia matumizi fala kweli yule mwanamke atakula umaarufu wake kama mange umaarufu bila hela
Malaya haridhika wala hafugiki,hawara nae anataka jamii imjue sijui ndio maajabu wa mwanamke wa kiswahili.
Hivi angenyamaza tu angekula kimyakimya ila kakaa na wauzaji wenzie ndio wakamjaza maneno atoe picha

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom