Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Kwakweli mimi hata uzuri wake siuoni namwona wakawaida sana,au macho yangu ndo yanashida?
Hahaha hapo siongezi neno,napenda tu kusifia wanawake wenzangu, so usishikilie sana hizi sifa ninazompa
Nyie ndio wenye macho bana
 
Naona dogo ameshauriwa akubali mtoto inaelekea huko naona amekubali kumgonga
 
Hapa napata picha tifu aliloanzisha Faiza kwa Sugu.
 
Muache aishi anavyotaka yeye.

Wewe na diamond kinachowaunganisha ni muziki wake tu hayo mengine wala hayakuhusu.

Pia hata ukimchukia hatopungukiwa na kitu ,sidhani hata show zake kama huwa unahudhuria.
 
Naona ndo anakoelekea
 
kiLa siku alikuwa anampa elfu sabini..
 
Anaapa hawezi kuachana na Zari, dogo kalishwa shuntama! Kwa maelezo haya Mobeto amejiharibia alitaka kuwa no1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…