Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Kwakweli mimi hata uzuri wake siuoni namwona wakawaida sana,au macho yangu ndo yanashida?
Hahaha hapo siongezi neno,napenda tu kusifia wanawake wenzangu, so usishikilie sana hizi sifa ninazompa
Nyie ndio wenye macho bana
 
Naona dogo ameshauriwa akubali mtoto inaelekea huko naona amekubali kumgonga
 
Atajuta sana na kama kweli mtoto ni wa Mondi ameathiri uhusiano wa baba na mtoto! Asikudanganye mtu watoto wengi wanaotelekezwa kwa huduma na baba zao na mama zao wanachangia kwa fujo wanazowafanyia baba zao. Mwanamke mzuri akiwa hana akili zinazoumia ni sehemu za Siri.
Hapa napata picha tifu aliloanzisha Faiza kwa Sugu.
 
Kama atathibitisha kuzaa na Hamisa nadhani ndio utakuwa mwanzo wa kuanza kuporomoka kisanii. Watu wengi sana wameumizwa na hili suala. Na wengi sana walimpenda Diamond alivyokuwa na msimamo juu ya Zari. Lakini kuzaa na Hamisa ni kama kumtusi Zari. Binafsi nitakuwa hater wa Diamond endapo atathibitisha kuzaa na Hamisa.
Muache aishi anavyotaka yeye.

Wewe na diamond kinachowaunganisha ni muziki wake tu hayo mengine wala hayakuhusu.

Pia hata ukimchukia hatopungukiwa na kitu ,sidhani hata show zake kama huwa unahudhuria.
 
Kama atathibitisha kuzaa na Hamisa nadhani ndio utakuwa mwanzo wa kuanza kuporomoka kisanii. Watu wengi sana wameumizwa na hili suala. Na wengi sana walimpenda Diamond alivyokuwa na msimamo juu ya Zari. Lakini kuzaa na Hamisa ni kama kumtusi Zari. Binafsi nitakuwa hater wa Diamond endapo atathibitisha kuzaa na Hamisa.
Naona ndo anakoelekea
 
kiLa siku alikuwa anampa elfu sabini..
 
Anaapa hawezi kuachana na Zari, dogo kalishwa shuntama! Kwa maelezo haya Mobeto amejiharibia alitaka kuwa no1
 
Back
Top Bottom