Kweli kwa zari mond hapindui aseeeDuh.................. kwahiyo mtoto atakua anapewa laki 2 kwa mwezi haaaaaaaaa
ila Dai loves Zari, ni vile tu umalaya ni ka tabia kake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kwa zari mond hapindui aseeeDuh.................. kwahiyo mtoto atakua anapewa laki 2 kwa mwezi haaaaaaaaa
ila Dai loves Zari, ni vile tu umalaya ni ka tabia kake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....kweli ebana shetani tunamsingizia tooo muchMbona ameshakubali mkuu eti shetani alimpitia dah shatani huyu anabebeshwa mizigo kweli aise
Ehhhh!!!
Usishangae bosi , ndio vijana wa bongo hawahaya yamekujaje hapa mzee mama
Diamond hawezi kuwa mjinga hata siku moja sifa ya mwanaume lijali ni kuwatumia wanawake wapenda vya mtelezo mtoto ni wa diamond hamisa arud tena kutafuta mwanaume alie singo apige mzigo azae tena maisha yake yaendelee unamuita mjinga wakat anakula papuchi!!!! Hata mm sikuachi ukijileta piga sepaMjinga yule. Itakuwa aliogopa kuharibu biashara yake ya musics.
HahahahahaDada wa USA alifikiri Dai atazingua akaandaa na wapiga tarumbeta na wapiga zumari, eti anamwambia Hamisa kuwa dai akizingua alipue bomu la hiroshima, sasa nadhani hapa DADA anatafuta pa kupumulia maana matundu yote yamezibwa.
mangekimambi_Naipenda hii picha maana inafanana na vituko vyako vya the last 72 hours , you look naughty!
.
.
Sasa sikiliza vichupi kunuka wanaomba ufanye Hivi, ukae standby ukisikiliza interview ya baba Dully. Akiongea usenge tu achia bomu moja la nuclear hapo hapo kipindi kikiwa hewani, Yani achia kitu cha Hiroshima kilichomtuliza Mjapani World War 2 Ili wachanganyikiwe, kina Gea chupi ziwabane katikati ya kipindi wasijue hata wanaanzia wapi kumuuliza Baba Dully kuhusu hilo bomu jipya, yani wamwoneee aibu hata kumuuliza na Baba Dully adate ashindwe hata kuendelea na interview, Yani studio pawe padogo kila mtu atafute pakutokea akose...Yani wanyeeeeeeeeee leo .
Tena atatembea kwa magoti...nadhan alisharekebisha na mke wake kama anavyosema kuwa walishaongea..Amenichekesha sana dimond eti siachani na zari hata iweje ikitokea zari ameniacha ntavua buti nitembee hadi SA huku nasema baby nisamehe baby nisamehe hahahhahahahahhaha
Kwa akili hizi ndio maana tuna watoto wa mitaani wengi! Mwanamke mwenye akili anafikiria future ya watoto wake no matter what na hapa ndipo Zari anapowafunika dada zangu wa kibongo!Kutumia Surname ya mama huku babako mzazi yupo huo nao ni ujinga tu! Bora ushindie mihogo huku ukimjua babako na kupeperusha jina lake kama yeye Mond alivyomjua babake na mpaka hii Leo ameweza kuwakana wengine ili tu amfurahishe mtu mmoja !
Mi namuunga mkono amsamehe tu hakuna namna akikataaa kusamehe atawapa ushindi maaduiDiamond ana sema Zari akimkataa atapiga magoti hapa hadi South ....
Nimeshawambia Kuwa Baada ya Interview hioi tayari Dimond atapigwa Vchini na kama hataapigwa chini atakuwa amepoteza credibility za kuwa kwenye mahusiano ya upendoi kama awali..
Hua hapost kiti hana uhakika nachoMange analishwa tu manews hana lolote...anachofanya yeye ni kupost tu kitu alichotumiwa na wadau...hata wewe unaweza ukamtumia vituko vyako na akavipost pia.
Atasema alichokitaka kimetokea amekubali mtotoHehehehe na hili ndo lilikuwa tegemeo la wengi ila Domo amewapiga bao la kisigino ...huko walipo hawaamini masikio yao..Namsubilia mange na post yake itakayokuja sijui atazuga nini
Achana nae huyo hajielewi,NENDA TENA YOU TUBE AFU ANGALIA KATI YA HAO WAWIL NAN ANATREND JUU YA MWENZAKE
Amsamehe tuuuTena atatembea kwa magoti...nadhan alisharekebisha na mke wake kama anavyosema kuwa walishaongea..
Huyo shambenga achana nae,,,daimond kaongea mengine kumridhisha zari lakin hakuna subirini mimba ya piliunatamani wewe ndiyo upewe mimba ya siri ili upewe laki 5 kwa wiki??