Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

kila zama na watu wake...
ngoja nirejee zama za nature na sinta.....
 
Nimesoma baadhi ya comments za wanaume, nimeishia kuumia. Majority ya wanaume hawajali hisia za watoto wao, wao wanachojali ni kutoa pesa tu. Eti mtu kakomaa "nimempa millioni 7, nimemnunulia Rav 4", so kama unampa hela ndo umkane mwanao? That's too from a person aliyekanwa na baba ake, angalau yeye alipewa hata na jina la mzee Naseeb, naona Hamissa aliambiwa atumie jina la baba ake as if yeye ndo alimtia mimba. Mtu kumkubali mtoto wake hata kama ana uwezo wa kumpa sh 200 means a lot to the kid. Hivi huyu mtoto angekuaje kwneye mazingira ya kumuona baba anaspend some quality times na watoto wake wengine afu wewe mwenzangu hata kupiga picha na baba ni uchochezi maana picha ikivuja ni tatizo, watu wanaelewa kweli what it means to be a father? Huyu mtoto angekua kwenye saikolojia ya hali gani? Tena bora baba anayekukataa mazima, kuliko ambaye anakufanya siri sijui anakuonea aibu kisa nini sijui. Afu baba zima na akili zake linakuja eti "Hamissa kajikosesha mengi", pumbaff linawaza material things tu. Hivi kuna mmama anayebeba mimba miezi 9 akashindwa kumlea mwanae hata kama ni kwa kunywa uji?

Kama diamond alishakiri na kuomba msamaha kwa familia yake (zari na kwa ndugu zake), ni nini kilimfanya aendelee kumficha mtoto? Trust me hata dunia nzima ikugeuke, as long as familia yako imekuelewa na inakussuport, kila kitu kitakuwa sawa tu eventually.
Alikuwa anawahofia wabongo? Hao wanaume wa kumnyooshea diamond vidole wako wapi, hawa ambao kucheat ni nature yao na ndo ufahari wao? Na sisi wanawake ambao tunaamini all men cheat? Mbona siku mbili tu tungeshasahau. Albert msando yalimkuta kwa giggy lakini he owned up his mistake na tushasahau. Sidhani kama yangefikia yalipofikia leo kama Dai angekubali mapema tena angeweka mazingira mazuri na angekuwa free kukata mazoea yasiyo na msingi na Hamissa, in case of chochote, anawaomba tu familia isimamie

Kwa hilo Hamissa la kutoa hiyo misiri hadi dai kamuaccept mtoto publicly nampongeza kabisa, hakuna mtoto wa public na private. Ila liwe somo kwake na kwa mabinti wote tunaoembrace kuwa the other woman na kufanywa kisirisiri, maana mwishowe na mtoto atakuwa wa sirini, dhambi kubwa sana. Angekuwa mwanamke mwingine hapa ungemsikia "Aah nimenunuliwa gari na nyumba, mwanangu anasoma vizuri hata asipomuweka wazo mtoto ni sawa tu" pambaff yani watu wanafanya watoto vitega uchumi afu mtoto anaishia kupata a lifetime psychological torture. Kuhudumia hata loan board imehudumia watu wengi tu, ila sio baba ake mtu.
Mama kama Like zingekua zinarudiwa rudiwa kwa maneno haya ningerudia hata Mara 1000 umeongea vyote,Diamond ashukuru alipewa jina na Mzee Adbudl mpaka nyota ya Naseeb ikang'aa.
Tatizo watu wanawaza Material things badala ya utu wa mtu kuheshimiwa yaani utasema kabla ya mimba ya Dully Hamisa alikua hali,havai wala hanywi
 
Ilo swala la kuelewana na zarina hassani kama lina ukakasi kidogo ebu tuone maana watu wa bongo fleva washakua waongo km wazee wa kudeal na makinikia ila diamond ana pesa asee wadada wanaleta mzaha sana kwnn hamisa ujapewa ubongo wangu aseee saivi ningekua namalizia nyumba ya mtoto huku biashara zikiendelea vzr nasubiria mwezi ujao niende dubai kupumzika na mtt tu daaah
 
sasa ushujaa wake ni nini hapo????
Kila mtanzania na mtu yeyote popote Leo hii anajua mtoto wa Hamisa ni Abdul Naseeb na sio Abdul asiyejulikana. Huo tu ni ushujaa baada ya kukataliwa hadharani na hayo Mengineyo ya matunzo sheria itachukua mkondo wake pale Diamond ataposhindwa kufanya hivyo maana Ustawi wa jamii wapo kwa ajili yao
 
Nimesoma baadhi ya comments za wanaume, nimeishia kuumia. Majority ya wanaume hawajali hisia za watoto wao, wao wanachojali ni kutoa pesa tu. Eti mtu kakomaa "nimempa millioni 7, nimemnunulia Rav 4", so kama unampa hela ndo umkane mwanao? That's too from a person aliyekanwa na baba ake, angalau yeye alipewa hata na jina la mzee Naseeb, naona Hamissa aliambiwa atumie jina la baba ake as if yeye ndo alimtia mimba. Mtu kumkubali mtoto wake hata kama ana uwezo wa kumpa sh 200 means a lot to the kid. Hivi huyu mtoto angekuaje kwneye mazingira ya kumuona baba anaspend some quality times na watoto wake wengine afu wewe mwenzangu hata kupiga picha na baba ni uchochezi maana picha ikivuja ni tatizo, watu wanaelewa kweli what it means to be a father? Huyu mtoto angekua kwenye saikolojia ya hali gani? Tena bora baba anayekukataa mazima, kuliko ambaye anakufanya siri sijui anakuonea aibu kisa nini sijui. Afu baba zima na akili zake linakuja eti "Hamissa kajikosesha mengi", pumbaff linawaza material things tu. Hivi kuna mmama anayebeba mimba miezi 9 akashindwa kumlea mwanae hata kama ni kwa kunywa uji?

Kama diamond alishakiri na kuomba msamaha kwa familia yake (zari na kwa ndugu zake), ni nini kilimfanya aendelee kumficha mtoto? Trust me hata dunia nzima ikugeuke, as long as familia yako imekuelewa na inakussuport, kila kitu kitakuwa sawa tu eventually.
Alikuwa anawahofia wabongo? Hao wanaume wa kumnyooshea diamond vidole wako wapi, hawa ambao kucheat ni nature yao na ndo ufahari wao? Na sisi wanawake ambao tunaamini all men cheat? Mbona siku mbili tu tungeshasahau. Albert msando yalimkuta kwa giggy lakini he owned up his mistake na tushasahau. Sidhani kama yangefikia yalipofikia leo kama Dai angekubali mapema tena angeweka mazingira mazuri na angekuwa free kukata mazoea yasiyo na msingi na Hamissa, in case of chochote, anawaomba tu familia isimamie

Kwa hilo Hamissa la kutoa hiyo misiri hadi dai kamuaccept mtoto publicly nampongeza kabisa, hakuna mtoto wa public na private. Ila liwe somo kwake na kwa mabinti wote tunaoembrace kuwa the other woman na kufanywa kisirisiri, maana mwishowe na mtoto atakuwa wa sirini, dhambi kubwa sana. Angekuwa mwanamke mwingine hapa ungemsikia "Aah nimenunuliwa gari na nyumba, mwanangu anasoma vizuri hata asipomuweka wazo mtoto ni sawa tu" pambaff yani watu wanafanya watoto vitega uchumi afu mtoto anaishia kupata a lifetime psychological torture. Kuhudumia hata loan board imehudumia watu wengi tu, ila sio baba ake mtu. Hili limeshapita mbona, amlee tu mwanae kwa uhuru
My Dear Hs,

vuta pumzi, kunywa maji.
Mahusiano ya Diamond na Zari yapo public. Mtu aliyekubali kuwa side chick akubali matokeo yote.
 
Waooo this is new.

Kwa hiyo watoto aliozaa na Diamond ni wa Lokole pia. ?
siki zote watoto hufuata dini ya baba...tiffah na nillan wamechukua dini ya baba yao mond muislam.

wale watatu walichukua dini ya baba yao ivan..mkristo!
na zari alifunha ndoa ya kimila na ivan mda huo akiwa muislamu.
basda ya kuachana na ivan zati akaokoka na kuwa mkristo.

na hata watoto wakifuata dini tofauti haimpi shida cz dini zote kapitia na anazijua vema.
Hata tifa na nillan wanalelewa kikristo?
 
Back
Top Bottom