Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣🤣🤣Ameingia mitini...😂😂
Lema nilikuwa nashiriki nae mjadala kule Clubhouse, Jamaa huwa hana hoja zaidi ya kupayuka tu, Juzi kati aliitwa tena Star Tv yule Odemba kambana maswali akabaki anajiuma uma tu
hapo ameona angebanwa na kuishia kujisemea hawa Clouds ni wakala wa CCM, wanatumiwa ....