Mahojiano ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO ni usanii mtupu

Kwa hiyo Kama hamna leta mvua basi au kavune kwenye bwawa la yule Rais wa mataahira
Hivi katika gridi ya Taifa kwa sasa ni asilimia ngapi ya umeme unazalishwa kwa kutumia gesi na asilimia ngapi inazalishwa na maji? na vipi tuna gas ya kutosha ya kuongeza uzalishaji wa umeme kwenye gridi ya Taifa? serious question nijibu tafadhari
 
Energy mix ratio hii hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221102-180120.png
    138.6 KB · Views: 1
ila hapo kwa magufuli umekosea
 
Mkuu Ni sahih kbsa shiriki limepoteza focus wamrudishe kalemani yey alikuwa na mbinu zake aliweza kufanya Kaz na mjomba wake vzr sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…