Mahojiano ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO ni usanii mtupu

Mahojiano ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO ni usanii mtupu

K
Honestly hiko ndicho kinachofanyika. Mazingira yanatengenezwa ili wananchi tukapigwe na hawa madalali akina makamba na wenzao.

Nchi inaumizwa sana na hawa walafi.
Wa hiyo Tanzania hakuna ukame unaoathili mabwawa ya umeme?
 
Hawa kina Maharage Chande kazi imewashinda kabsaa, wameandaa slide kuhadaa umma hatua za JNHP, wakati si kweli.

Kigoma wamezima majenerata, umeme mdogo, unakatikakatika na kusuasua, katoa majibu ya kibabaishaji akimuingiza Ndalichako kutafuta huruma, nonsense kabisa.

Mkurugenzi hilo la kigoma ni jipya kwakwe, kweli? Pia gesi imeshindwa kusaidia upungufu wa umeme, hapo Tanesco wamebinafsisha customer care services, hivi kweli walishindwa kupata watanzania competent kureplace wazembe waliokuwepo customer care?,wakawaboreshea maslahi na mikataba mizuri?, wakaamua kubinafshisha kitengo?,wizi huo,

Hawa acha wamuingize chaka rais Samia, au pengine n na yeye ni mnufaika,

Magufuli aliwezaje?,hawa mbona visingizio vingi sana na kujifanya eti wao hawataongopa,ni wakweli, nonsense!,porojo na lugha laini,wananchi wanateseka,

Hii nchi mpaka mapinduzi ya uongozi yatokee tena ni lazima kabisa , vinginevyo tunasindikiza kundi la wahuni kwa woga wetu.
maharage yuko poa lazima ukiingia kwenye mifumo hii ya kiselikali lazima uwe janjajanja ki system other wise watakuzabua makofi asubuhi mapema tu
 
Miradi itegemeayo mvua haifai

IGA UFE, MSEMO MZURI WA WAHENGA

Tunaigiza kwa asilimia 100% miradi inayofanyika ktk nchi zingine zenye idadi ya watu wachache, wametunza mazingira, hali ya kijiografia tofauti na yakwetu Tanzania iliyopo tropiki, mipango ya makaazi ya wakulima na wafugaji Tanzania haipo n.k

Tuchukue mfano nchi ya Norway iliyopo bara la ulaya eneo la kaskazini gesi imevumbuliwa hivi karibuni na tayari Norway ilisha wekeza ktk nishati ya umeme ya vyanzo maji vya maji toka 1891 The History of Norwegian Hydropower in 5 Minutes. Pia gesi na mafuta vilianza kuwa chanzo tajwa Norway 1959 Black Gold: Norway's Oil Story - Life in Norway.

Umeme wa maji katika nchi baridi za kaskazini kama Niagara Falls USA, Yangtse China ni sahihi vyanzo vyake ni mvua na barafu tofauti na nchi za joto za tropiki .

In 1974, the Norwegian Parliament granted license for Norway's largest hydropower project ever. More than 1500 people worked on the development at peak, and the construction was officially concluded in 1988. Today, the Ulla-Førre power system plays a key role in Norwegian energy supply. The watershed covers 2000 sq km. Total output of the power plants is more than 2 gigawatts, or about 7 per cent of the total installed capacity of all Norwegian hydropower plants

ila nchi za joto za tropiki ambazo wananchi wake wanaharibu mazingira kwa kuwa wengi ni wakulima wadogo na wachoma mkaa umeme wa kutegemea vyanzo vya maji pekee ni changamoto kubwa.


Hii ndiyo tofauti ya kijiografia na hali ya hewa inatakiwa kuzingatiwa kwa nchi za joto za tropiki kuwa na vyanzo mchanganyiko vya umeme yaani gesi ,maji, nishati ya joto ardhi, jua, makaa ya mawe n.k ili kushinda upungufu wa nishati ikitokea ukame n.k
 
COUNTRY PROFILE

Norway​

Norway’s topography lends itself perfectly to hydropower development

A country well known for its high mountain plateaus, abundant natural lakes and steep valleys and fjords, Norway’s topography lends itself perfectly to hydropower development. Hydropower provided the basis for the nation’s industrialisation in the late 19th century, and remains the backbone of its power system.

Hydropower regularly accounts for more than 95 per cent of total Norwegian power production, with the small remainder made up by thermal and, only recently, wind.

The current average age of hydropower and dam infrastructure in the country is around 46 years; this is triggering refurbishments and upgrades through the country, as well as environmental improvements.

As a result of climate change, the country is experiencing an increase in average inflow feeding its river systems, adding a further incentive for extension projects. Some of these projects can involve including new catchment areas or increasing the size of the reservoirs and turbines to accommodate increased inflow.

The introduction of renewable energy certificates in 2003, and the merging in 2012 of the Norwegian and Swedish certificate markets, has resulted in a boom of smaller-scale (in this case 10 MW or less) hydropower projects throughout Norway. Investors were able to quickly identify opportunities after the Norwegian Water Resource and Energy Directorate published country-wide mapping for potential sites in 2004.

Over 350 small- scale hydropower projects have been commissioned since 2003, and the number is expected to grow up until 2020, when the certificate scheme ends.

The Norwegian power system benefits from an integrated, open electricity market (Nord Pool) shared with the neighbouring countries Sweden, Denmark, Finland, Estonia, Lithuania and Latvia.

The Nordic system is also interconnected with a number of other countries via high-voltage direct current (DC) transmission lines. DC connections exist from Sweden to Germany and Poland, as well as a recently completed interconnector to Lithuania. Norway also has a DC line to the Netherlands and Russia, while Finland is connected to Estonia and Russia.

This extent of interconnectors provides ample export opportunities for Norwegian hydropower. Norway and the UK are building the world’s longest submarine high-voltage cable for the export of Norwegian hydropower to the United Kingdom, and there are plans to export Norwegian hydropower to Germany as well.

Read the country profile featured in the 2017 Hydropower Status Report.

Source : Norway
 
Suluhisho ya umeme ni vitu vitatu
1.kuligawa shirika kundi la uzalishaji na ugawaji/usambazaji
2.kuwekeza kwenye umeme mchanganyiko(energy mix)km umeme nguvu ya upepo,joto ardhi,gesi na maji kwa pamoja. Mbona hapa Kenya wamefaulu kwa umeme wa joto ardhi uliopo hapa Nakuru unasambazwa Nairobi. Waende kujifunza.Jamani Mbona vyote tunavyo ina maana hatuna mipango ya muda mfupi, kati na mirefu na au hatuna ubunifu.
3.kuruhusu ushindani kwenye sekta hii. Jamani tumechelewa sana kwa hili.Angalia TTCL walivyooonywa na akina VODA etc. Kenya wamefanikiwa kwa hili. Sera na sheria zipitiwe kuruhusu hili.
 
Sio tu kwamba hajasomea mambo ya umeme hata managerial skills hana.
Dr Idris Rashid alikuwa hajasomea mambo ya umeme lakini aliliendesha shirika kwa ufanisi mkubwa.

Hizo managerial skills alizokosa kweli angepewa hiyo dstv kuendesha wakati wale ndiyo malengo yao ni faida tu?

Mambo mengine bwana watu huwa wanajisemea tu alimradi.....
 
Hawa washukuru Mungu Magufuli hayupo Angekuwepo Asingengekuwepo Maharage wala choroko.

Mama Wameshamjua udhaifu wake hivyo hawana cha kupoteza.

Magufuli Alitengeneza njia nzuri sana ya kujenga nidhamu ya kazi na sio kuleta mazoea kwenye utendaji.

Mama Akapuuza badala Angekazia pale pale kwenye kufurusha wazembe kazini.

Nature ya watanzania punda Aendi bila mjeledi. Sasa matunda ya kuchekeana na kubembelezana kazini ndio ugonjwa unao itafuna Awamu 6

Na Mama akizidi kuzubaa Atavuna Alichopanda maana huku mtaani watu Hawamuelewi kabisa.

Ni kweli mama Samia ni kiongozi dhaifu, lakini Magufuli pia hakuwa kiongozi bora. Ukatili na ulevi wa madaraka sio ubora katika uongozi. Nyingi ya sifa unazosema ni zile wapambe wake mlikuwa mnazihubiri, lakini ukweli haukuwa huo. Hata huyu mama angebana uhuru wa habari kama Magufuli, na kuacha mahubiri ya anayoyapenda bado angeonekana wa maana.
 
Projects ni priority with time...
1. Ajira zimetolewa ( miaka 5 hakukua na ajira)- afya+ elimu
2. Mashule+ hospitali zimejengwa kila kijiji
3. Mbolea za ruzuku+ masoko kwa wakulima
Hivyo vyote visingeweza kusubiri bwawa likamilike....
Kwanini umeongea uwongo? Hizo ajira za Afya source ni ujenzi wa hospitali kila wilaya chini Magu, nimetembea mikoa zaidi ya 15 ndani ya kati ya 2015-2020,nimeshudia hospitali zote ktk kila wilaya nyingi zimekamilika bado kiweka vifaa na watu waajiwe na nyingine ujezi wake umefiki karibia 70%.

Na kama hujui Magu ndiye aliyejenga,ofisi zote za kisasa za wakuu wa Wilaya ktk kila wilaya zimejengwa na Magufuli na tena kazijenga pembezoni mwa miji kabisa ndani huko na si mijini.

Acha kudanganya watu.
 
Tulitakiwa kuona huo usmart kwenye field as long as umeme una katika hivyo wote waliopo kwenye field hiyo kuanzia mfanya maamuzi Rais hadi kwa mtendaji wote ni matatizo.

Huwezi mtoa MTU huko alikuwa anasambaza masidishi ya DSTV na kumleta kuongoza shirika ambalo ndio nguzo ya uchumi Tanzani.Mbaya zaidi watu wote tunakaa kuwaangalia tunategemea walete majibu-poor us.
Izi nasikia Kwako kumbe alikua msambazaj DStv 😳😳😳😳
 
Unatak
Ni kweli mama Samia ni kiongozi dhaifu, lakini Magufuli pia hakuwa kiongozi bora. Ukatili na ulevi wa madaraka sio ubora katika uongozi. Nyingi ya sifa unazosema ni zile wapambe wake mlikuwa mnazihubiri, lakini ukweli haukuwa huo. Hata huyu mama angebana uhuru wa habari kama Magufuli, na kuacha mahubiri ya anayoyapenda bado angeonekana wa maana.
Unataka abane uhuru Gani ww uoni ivi sasa Wana Habar wanavyingia sekta nyeti Kwa hili mama tumpongeze Tu ila Kitu kimoja ukali Ana iyo ndio shida
 
VINYOZI,WASHONA NGUO,MAFUNDI SEREMALA NK LEO HAWAJAFANYA KAZI TANGU ASUBUHI
INA MAANA HAWAJAINGIZA CHOCHOTE.....
AIBU SANA KWA SERIKALI

ova
 
Hawa kina Maharage Chande kazi imewashinda kabsaa, wameandaa slide kuhadaa umma hatua za JNHP, wakati si kweli.

Kigoma wamezima majenerata, umeme mdogo, unakatikakatika na kusuasua, katoa majibu ya kibabaishaji akimuingiza Ndalichako kutafuta huruma, nonsense kabisa.

Mkurugenzi hilo la kigoma ni jipya kwakwe, kweli? Pia gesi imeshindwa kusaidia upungufu wa umeme, hapo Tanesco wamebinafsisha customer care services, hivi kweli walishindwa kupata watanzania competent kureplace wazembe waliokuwepo customer care?,wakawaboreshea maslahi na mikataba mizuri?, wakaamua kubinafshisha kitengo?,wizi huo,

Hawa acha wamuingize chaka rais Samia, au pengine n na yeye ni mnufaika,

Magufuli aliwezaje?,hawa mbona visingizio vingi sana na kujifanya eti wao hawataongopa,ni wakweli, nonsense!,porojo na lugha laini,wananchi wanateseka,

Hii nchi mpaka mapinduzi ya uongozi yatokee tena ni lazima kabisa , vinginevyo tunasindikiza kundi la wahuni kwa woga wetu.
Hata wakati ule mgao ulikuwepo tena wa kimya kimya watu tukaa kimya tu
 
Kuna issue ya kufungulia mabwawa ameleisi mwandishi mmoja, anasema hakuwepo na ni ngumu kufungulia mabwawa kwa sababu za kiusalama,ya kwamba haiwezekani, issue hapo ni kwamba yalifanyika ya kufungulia maji taratibu kwa lengo la kulowa levo za mabwawa hasa mtela,hawa wanataka kumprove wrong hayati Magufuli lakini wanaishia maneno mengi perform poor
Kufungulia mabwawa sidhani kama ilikuwa kweli.
 
Projects ni priority with time...
1. Ajira zimetolewa ( miaka 5 hakukua na ajira)- afya+ elimu
2. Mashule+ hospitali zimejengwa kila kijiji
3. Mbolea za ruzuku+ masoko kwa wakulima
Hivyo vyote visingeweza kusubiri bwawa likamilike....
Mwaka huu nimeuza pamba Sh. 2200 kwa kilo tena cash hakuna mkopo badala ya Sh. 500 enzi hizo licha ya kuahidiwa bei ya Sh. 1560 na kukopwa juu.
 
Back
Top Bottom