Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #61
Sawa mkuuTupo pamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuTupo pamoja
Kwani watuts na wahutu haya siyo makabila?Ubaguzi wa kinyarwanda ni kwenye koo,,sababu hakuna kabila pale.
Wote ni wanyarwanda na wanaongea kinyarwanda.
NB: NI KAMA UHASAMA WA WASOMALI
Hafi mtu mkuu,,,,kua na amani🤣🤣🤣Nelson Jacob Kagame usimuue Nelson Jacob Lushatsi huko epsode inayofuata.
Kabila moja ya sifa yake kubwa ni kua na lugha yake.Kwani watuts na wahutu haya siyo makabila?
Unamaanisha kua hizi ni koo tu, ama mimi sijakuelewa vizuri?
UcjaliShusha shusha vitu mkuu
Nimekusoma mkuu.Kabila moja ya sifa yake kubwa ni kua na lugha yake.
Wahutu wanaongea kinyarwanda.
Watusi wanaongea kinyarwanda.
Hawana kabila sababiu wote ni wanyarwanda.
Mkuu hawezi kukubali kwa sababu za kiusalamaItaendelea.
Sema ungeteafuta wazamini utoe movie yake kama afande F angekubali.
Yeah ni koo tu za kiutawalaNimekusoma mkuu.
Kwahiyo hizi ni koo tu, sio?
KaribuNitaridi kusoma
Itakua ametingwa na majukumu mengine, tuendelee kua wavumilivu mkuu...😊Mbona kimya
Mkuu inakuja kua na amaniMbona kimya
Upo sahiiItakua ametingwa na majukumu mengine, tuendelee kua wavumilivu mkuu...😊
Mkuu mbona kikyayMkuu inakuja kua na amani