Mahojiano yangu na washirika wa FDLR kuhusu uhasama wao na RPF- Inkotanyi

Kabila moja ya sifa yake kubwa ni kua na lugha yake.
Wahutu wanaongea kinyarwanda.
Watusi wanaongea kinyarwanda.
Hawana kabila sababiu wote ni wanyarwanda.
Ila Wahutu walihamia sehemu hizo awali kabla ya ujio wa Watutsi. Watutsi walipofika maeneo hayo walijifunza lugha ya wale waliowakuta hapo na hivyo wakawa wanaongea lugha moja. Kule Rwanda lugha inayoongelewa ni Kinyarwanda na watu wake ni Wanyarwanda. Kule Burundi lugha yao ni Kirundi na watu wake ni Warundi ingawa kuna wengine wanapenda kujulikana kama Wanyaburundi. Lugha zote hizi hazina tofauti kabisa ila kwa vile ni nchi mbili tofauti, kila upande unatumia jina la nchi yake katika kuelezea watu wake na lugha wanayotumia.
 
Mkuu upo sahii kabisa.
Eneo la ruanda lilikaliwa na watu wengi kwa mamilioni ya miaka.
Warundi
Wanyarwanda
Wanyambo
Baganda
Wanyoro
Listi ni ndefu mno......!!!
 
Tofauti ya Fdlr na ALIR ni Nini ? ... kwanini baadhi ya wapiganaji walijitenga na Fdlr na kuunda kundi jipya ?

Kuna baadhi ya askari wa kihutu wa Habyarimana walijiunga na Rpf , hawa taarifa zao vipi ?

Upi ulikuwa ushiriki wa Fdlr kwenye Vita vya kwanza na vya pili vya Drc?....ikumbukwe Vita ya kwanza ya Drc (Zaire) iliambatana na mauaji ya wahutu kwenye makambi ya wakimbizi kupitia AFDL....

Kipi kiliisukuma tena Fdlr kuungana na Laurent Kabila kupigana na Rwanda ilihali alikuwa adui yao aliyetumiwa na Rwanda kuwahujumu ?

Kwanini Rwanda imeshindwa kuimaliza Fdlr mpaka sasa ?

zitto junior
 
Mkuu

Kwa hiki kipande mkuu ni hatari kwako aiseh!I can feel it!

Coz kati ya mauaji yaliyowahi umiza vichwa wengi hata museven aliumia ni mauaji ya fred Rwigyema aiseh!jamaa aligoma kuua raia akasema wawafanyie siasa za uaminifu yaani kuliko kuwaua wahutu Bora ku wafanya wawaamini RPF kuwa watakua salama chini yao!nadhani mjomba paulo aliona jamaa anampiku kisiasa ndio jamaa akapigwa tukio la ghafula!!

So sad!!
 
Jazia nyama kwenye hili Mkuu
 
Jazia nyama kwenye hili Mkuu
Inasemekana wakati RPF wakichukua maeneo hasa Mikoa ya Rwanda chini ya himaya yao ! Rwigyema alikataza kabisa kuua wahutu yaani alitaka wachukue maeneo pole pole huku wakitumia mbinu za kisiasa Ili wahutu waamini watakua salama chini ya utawala mpya wa RPF ambao walionekana wakishinda vita ile!!

Sasa hiyo ilileta sintofaham ni kana kwamba Fred Rwigyema alionyesha ukomavu wa kiuongozi akiwa na lengo la kuua chuki za kikabila!

Tofauti na pk ambae alipenda mambo yaendelee kama yalivyokua yakitokea yaani Raia kuuana kwa ukabila ili aje aitulize kwa chuma sasa fred Rwigyema aliona itakua ni ngumu ku win mioyo ya wahutu kwa style ile ya RPF kujibu mapigo kwa raia wa kihutu kwa kuwaua kama member wa interahamwe vile!!

Rwigyema akafutika kw style ile nadhani angekuja kuwa mwiba kwa pk Baadae kisiasa na kiutawala!!!

Ndio maana pk aliamua kumwita mwanae Fred kwa kumkumbuka huyu jamaa alikua kichwa sana!!


KNOWLEDGE DIGESTED FROM THE BOLD UZI WA "KILIO NA MIFEREJI YA DAMU KUELEKEA ETHIOPIA"

HIVYO TU!!

SIMTISHI MWANDISHI ILA ALICHOKIANDIKA NI TOP SECRET HASA MAUAJI YA FRED RWIGYEMA COZ HAYAKUWAHI KUJULIKANA HASWA NANI ALIMUUA,PIA MAUAJI YA KIMBARI YAMEWEKWA WAZI KABISA HPA KUWA ULIKUA MPANGO WA PAULO ULIOSUKWA VEMA!!

TOP TOP SECRET AISEH!

LABDA KAMA PAULO AMCHUKULIE POA JAMAA!!!
 
Naendelea kuwaletea hii top secret interview na ninazo clip za mahojiano ya Brigedia Fred na Kanali F na Paulo wakati wanakubaliana mpango wa kisiasa wa baadae hapo rwanda.
Hii ilikua mwaka 1987 mjini Kidaho Rwanda.
Lakini huo ni uzi mwingine kabisa.
Kwa sasa tuendelee na huu uzi wa FDLR
 
Paulo Jacob Kagame can't kill his blood nephew's worry out.
He got sense,s!!
 
Paulo can't kill his own blood nephew's.
He too old now to loose his tail,s.
 
Mkuu kwanza FDLR NI SEHEMU YA VIKOSI VYA WANAJESHI WA SERIKALI YA RWANDA ILIYOPINDULIWA.
RPF MWAKA 1996 WALIVAMIA ZAIRE NA KUANZA KUUA WAHUTU WAFUASI WA FDLR NA IKABIDI FDLR WAJIHAMI KWA KUUA WATUSI WA VILIMA VYA MULENGE.
KATIKA SIASA HAKUNA ADUI WA KUDUMU NDIO MAANA FDLR WALIUNGANA NA MZEE KABILA AMBAE MWAKA 1996 -1999 ALIKUA ADUI YAO
NB:ALIR NI TAWI LA WALIOJITENGA NA FDLR NA HII NI HABARI NDEFU SANA INAHITAJI UZI WAKE PEKEE
NB: ASKARI WOTE WA KIHUTU WALIOJIUNGA NA RPF HAWAKUA NA MAISHA MAREFU JESHINI.
 
Nimependa hayo mahojiano ya Paul na Afande F
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…