Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

Nilipata mafanikio alafu yakaondoka yoote baada ya mifarakano
Hasira ni hasara. Huu mchezo hauhitaji hasira!

Ungefundishwa namna rafiki ya kushughulikia hiyo mifarakano usingeishia kwenye hasara.
 
Mapenzi siyo Lazima yawe ndoa au yaishie kuwa ndoa, pia siyo Lazima kila penzi liwe ni penzi la kudumu

Hata humu mtandaoni unaweza kupata mpenzi inategemea unataka kufanya nini hasa na huyo mpenzi
Ya mtandaoni sio mapenzi bro nishakuwa na mtu tumekaa mwaka mzima tunaongea vizuri tu bila shida yeyote na sikuwa na shaka yeyote siku tuonane ndio ananambia ana mtu wake anampenda eti wameruidana
Hapo nishapoteza visenti vyangu na mida pia,
Mapenzi ya mtandaoni ni utapeli Over.
 
Hilo linaweza kukutokea hata kwa mtu ambaye umekutana naye kanisani au msikitini
 
Mahusiano yote Yana faida na hasara kwa Pande zote inategemea hasara imeanza kumkuta nani na faida imeanza kumkuta nani , kwa Mimi Yule mbwakoko Bora nilimwacha
 
In life we either win or learn... You learned so it's OK.
Na naamini you are now better than before... Much love
Umeongea vyema mkuu , inaonekana Una uzoefu Sana hiyo sekta
 
Yamenipa mafanikio japo ilikuwa miaka kama minne hivi ya Giza Kali Ila uvumilivu wake na heshima yake kwangu Mimi niliyekuwa Baba suruali Kwa wengine hatimaye tulifikia pazuri
 
Yamenipa mafanikio japo ilikuwa miaka kama minne hivi ya Giza Kali Ila uvumilivu wake na heshima yake kwangu Mimi niliyekuwa Baba suruali Kwa wengine hatimaye tulifikia pazuri
Kidogo ulipata asie na tamaa na mvumilivu , hasa uanze kumzingua baada ya mambo kukaa sawa
 
Hizi habari za wanaume kujilinganisha na wanawake mmezitoa wapi nyie vitoto vya Mkapa?
 
cocastic
 
Ulikua unakula mzigo, kama jibu ni ndio wala usifadhaike haujapoteza sana, coz hakuna kingine angeweza kukupa
 
Ulikua unakula mzigo, kama jibu ni ndio wala usifadhaike haujapoteza sana, coz hakuna kingine angeweza kukupa
Hata sikula kwakweli aliniweza nilijiona bwege wa mwisho duniani,
Kuna mda hasira zilifika nilitamani nimfanyie kitu kibaya sana, sema nilimuomba mungu likapita
 
Mahusiano yote Yana faida na hasara kwa Pande zote inategemea hasara imeanza kumkuta nani na faida imeanza kumkuta nani , kwa Mimi Yule mbwakoko Bora nilimwacha
Hahaha.. Nimecheka kama mazuri... Pole na hongera mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…