Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

Hahaahaa mkuu wewe ndio unafaa Una uzoefu mkubwa hata ukipigwa mazonge
Mkuu mazonge ni part and parcel ya mchakato... Never regret take it as a less kisha fanya chaguo bora zaidi... Grieving is fine ila usijute...
 
Mimi hakuna nilichoambulia zaidi ya hasara ila bado nakomaa nayo tu
 
Aisee pole Sana kaka
 
Mkuu mazonge ni part and parcel ya mchakato... Never regret take it as a less kisha fanya chaguo bora zaidi... Grieving is fine ila usijute...
mkuu uko vizuri , bahati mbaya utakuta wanawake kama ninyi hamna hata ndoa
 
Mahusiano yote Yana faida na hasara kwa Pande zote inategemea hasara imeanza kumkuta nani na faida imeanza kumkuta nani , kwa Mimi Yule mbwakoko Bora nilimwacha
Umeongea kweli kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…