Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

Hahaahaa mkuu wewe ndio unafaa Una uzoefu mkubwa hata ukipigwa mazonge
Mkuu mazonge ni part and parcel ya mchakato... Never regret take it as a less kisha fanya chaguo bora zaidi... Grieving is fine ila usijute...
 
Mimi hakuna nilichoambulia zaidi ya hasara ila bado nakomaa nayo tu
 
Nilishakuwa na msichana nafanyia kila kitu upendo wa kweli na sikuwahi hata kuwaza kumcheat japo na yeye sikuwa na mshaka nae pia ila unajua nn kilitokea ?
Ghafla tu naona anampost bwana ake siku namuuliza ananambia mi nilikuwa na ww ila sijawahi kukupenda sikuwa na hisia na ww japo we ulikuwa mtu mwema kwangu.
Bro iliniuma mno ukizingatia nishapoteza mda wangu pia vizawad na matarajio yangu kwake yalikuwa makubwa.
Aisee pole Sana kaka
 
Mkuu mazonge ni part and parcel ya mchakato... Never regret take it as a less kisha fanya chaguo bora zaidi... Grieving is fine ila usijute...
mkuu uko vizuri , bahati mbaya utakuta wanawake kama ninyi hamna hata ndoa
 
Mahusiano yote Yana faida na hasara kwa Pande zote inategemea hasara imeanza kumkuta nani na faida imeanza kumkuta nani , kwa Mimi Yule mbwakoko Bora nilimwacha
Umeongea kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom