🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mie siku mbili tu jamani,Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care.Alafu cha maana hakuna..mara umekula,unafanyaje,nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
Kwa hiyo ww sumu kuombwa hela eeh(1)Mimi masaa 4 alinipa namba nikampigia akasema hana hela ya umeme na vocha. Nilikata simu mpaka leo sijampigia
(2) Huyu nilimpa namba ndani ya wiki moja akasema birthday yake anataka nimtumie 200,000 afanye birthday party sijamjibu mpaka leo.
Kwioooo [emoji239][emoji239][emoji239]
Mbona nyie hamtaki kufanya kazi ata kama kuuza mbususu🤣🤣🤣🤣Mie siku mbili tu jamani, Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care. Alafu cha maana hakuna..mara umekula, unafanyaje, nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
Sababu gani wewe hiyo nasi wanaume tujihami tukiisikiaWakuu habari zenu,
Huku tukiutafuta tafuta usingizi hebu tuambiane mahusiano ambayo umewahi kuwa nayo na yakawa mafupi kuliko yote.....
Ukitoa sababu ya kwanini mlidumu muda mfupi hivyo itakuwa vizuri. Binafsi mahusiano yangu mafupi kuliko yote yalichukua week moja.
Nlijiona tu siko sehemu salama nikaamua kukatisha kwa kumtafutia sababu isiyo na kichwa wala mguu na kuendelea na yangu.
Hadi leo yule kaka ananilaumu na ile sababu niliyomtafutia hajaikubali milele.
Yangu yalidumj miezi miwiliHaha najua hujawah kuhusiana
Kujali ni muhimu ila isipitilize jamenii.Kuna mda mtu unahitaji kujishughulisha eti pata picha upo ofisin unapambana na simu ndo kama za hivyo zinaingia si unaeza kuwehuka[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli wanaume wafanye kazi...
Lakini jaman ss ke tukiwa hatupigiwi simu huwa tunalalamika..tukipigiwa pia tatizo...
Akiuliza umekula inabidi awe ametuma muamala ws chakula
Wee ulikuwa wataka dyudyu🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha aling'ang'ana kwenda kwaya me nkamwambia asiende namhitaj mda huo. Nlijua kabisa ataenda ...aliporudi akakutana na kibuti saaafii
Waguna nini sasa...mie sii unajua napenda kula loose ball