Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,778
Reaction score
21,010
Wakuu habari zenu,

Huku tukiutafuta tafuta usingizi hebu tuambiane mahusiano ambayo umewahi kuwa nayo na yakawa mafupi kuliko yote.....

Ukitoa sababu ya kwanini mlidumu muda mfupi hivyo itakuwa vizuri. Binafsi mahusiano yangu mafupi kuliko yote yalichukua week moja.

Nlijiona tu siko sehemu salama nikaamua kukatisha kwa kumtafutia sababu isiyo na kichwa wala mguu na kuendelea na yangu.

Hadi leo yule kaka ananilaumu na ile sababu niliyomtafutia hajaikubali milele.
 
Mie siku mbili tu jamani, Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care. Alafu cha maana hakuna..mara umekula, unafanyaje, nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
 
(1)Mimi masaa 4 alinipa namba nikampigia akasema hana hela ya umeme na vocha. Nilikata simu mpaka leo sijampigia

(2) Huyu nilimpa namba ndani ya wiki moja akasema birthday yake anataka nimtumie 200,000 afanye birthday party sijamjibu mpaka leo.

Kwioooo [emoji239][emoji239][emoji239]
 
Mie siku mbili tu jamani,Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care.Alafu cha maana hakuna..mara umekula,unafanyaje,nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli wanaume wafanye kazi...
Lakini jaman ss ke tukiwa hatupigiwi simu huwa tunalalamika..tukipigiwa pia tatizo...
Akiuliza umekula inabidi awe ametuma muamala ws chakula
 
(1)Mimi masaa 4 alinipa namba nikampigia akasema hana hela ya umeme na vocha. Nilikata simu mpaka leo sijampigia
(2) Huyu nilimpa namba ndani ya wiki moja akasema birthday yake anataka nimtumie 200,000 afanye birthday party sijamjibu mpaka leo.

Kwioooo [emoji239][emoji239][emoji239]
Kwa hiyo ww sumu kuombwa hela eeh
 
Mie siku mbili tu jamani, Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care. Alafu cha maana hakuna..mara umekula, unafanyaje, nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
Mbona nyie hamtaki kufanya kazi ata kama kuuza mbususu🤣🤣🤣🤣
 
Wakuu habari zenu,

Huku tukiutafuta tafuta usingizi hebu tuambiane mahusiano ambayo umewahi kuwa nayo na yakawa mafupi kuliko yote.....

Ukitoa sababu ya kwanini mlidumu muda mfupi hivyo itakuwa vizuri. Binafsi mahusiano yangu mafupi kuliko yote yalichukua week moja.

Nlijiona tu siko sehemu salama nikaamua kukatisha kwa kumtafutia sababu isiyo na kichwa wala mguu na kuendelea na yangu.

Hadi leo yule kaka ananilaumu na ile sababu niliyomtafutia hajaikubali milele.
Sababu gani wewe hiyo nasi wanaume tujihami tukiisikia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli wanaume wafanye kazi...
Lakini jaman ss ke tukiwa hatupigiwi simu huwa tunalalamika..tukipigiwa pia tatizo...
Akiuliza umekula inabidi awe ametuma muamala ws chakula
Kujali ni muhimu ila isipitilize jamenii.Kuna mda mtu unahitaji kujishughulisha eti pata picha upo ofisin unapambana na simu ndo kama za hivyo zinaingia si unaeza kuwehuka[emoji38]
 
Mkitaka mapenzi yenu yadumu mmoja wenu inabidi ajifyatue akili bila hivo hamtoboi. Mapenzi na akili haviendi pamoja🚶🚶🚶
255694002377_status_17e0ad5c4233480dbdf211d6c6248842.jpg
 
Kujali ni muhimu ila isipitilize jamenii.Kuna mda mtu unahitaji kujishughulisha eti pata picha upo ofisin unapambana na simu ndo kama za hivyo zinaingia si unaeza kuwehuka[emoji38]
Hahahaha wapo wa hivi...unablokua mbali huko
 
Back
Top Bottom