Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Hao walikuwa hawakupendi
 
Mimi dakika 5 tu nimkutana nae stendi nimetongoza kakubali. Gari ya Gongo la mboto imefika, kaniandikia namba. Kaondoka kupiga simu haipatikani. Mpaka Leo namba haipatikani huu mwaka Sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe alikuona kuwa sio type yake.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Ukaona hapa majanga yanakuja
 
Daaah sio fair we ungeendelea na huu mziki wake.

Huku ukipima mengine
 
Na wewe tulia tu zamu yako inakuja

Anyway... Mahusiano yangu mafupi yalichukua siku tano.

Tongoza demu leo kesho yake nikapeleka mbususu location nikaichakata sana. Alichojichanganya ni kunitania ana mimba[emoji51][emoji51] Aisee nilimkataa mpaka leo haamin kilichotokea.
 
juzi tu nimeomba namba nkapewa tukachat kidogo akasema my gas imeishaa hapa yani hata sielewi nafanyajee.... na mimi msg zikaishaaa ghafla na simu sikupokea tenaa 😀 😀 😀
Hahahahah daaah.

Yaani watu hawana huruma

Umetongozwa leo hii na leo hii unapiga mzinga daah watu wako fasta
 
Masaa 3 nadhani alinipa mawasiliano badae napita kwake naomba mbususu ananipa nakutana na bwawa nikatokomea mazimaa
 
Mie siku mbili tu jamani, Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care. Alafu cha maana hakuna..mara umekula, unafanyaje, nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
Umeongea point kubwa sana[emoji123]. Wanaume inabidi tufanye kazi.

Wifi/shemeji yenu nilikuwa nampetipeti sana akawa anaringa anapokea msg na simu akijisikia now nimekata kamba kabisa anadai namsaliti na simjali. Hapa sasa hivi nimemwambia kama anahisi hivyo atafute chaka mapema.

Ukipendwa ringa[emoji16]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Well noted[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tu
Tunaoteana tu mkuu
 
Ulifeli sana chief,
Wanawake wanapenda Sana kuambiwa uongo[emoji4]
 
Diva Ameiga uzi wetu sema yeye ameuleta ze opposite...
Naka kama naka ni kama majiiii......
Usiponioga utaninywa usiponinywa utanifulia usiponifulia utanyweshea mimea
 
Diva Ameiga uzi wetu sema yeye ameuleta ze opposite...
Naka kama naka ni kama majiiii......
Usiponioga utaninywa usiponinywa utanifulia usiponifulia utanyweshea mimea
Daah mimi nahitaji nikunywe mrembo..utakuwa mtamu balaa[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…