Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Mkuu umenikata moto kabisa, niikuwa na mpango wa kuchakata jirani kesho asubuhi..... Ngoja nijitafakari kwanza.
 

Tunashukuru mkuu kwa elimu hii
 
Subhan'Allah
 
Muda mwingine mtu hutumika kama specimen ili wengine wapate funxo kupitia yeye kama mkuu asingepitia hya angetufundisha nn leo hii
 
Hongera bro, arusha ni home kabsa, ngj nikomae nami na huu mchele inshallah kitaeleweka tu mbele ya safari
Inshaallah kk,Allah atakufanyia wepesi na kukupa kheri.tuko pa1 sana
 
Mkuu hongera ulipata mke mwema sana.
 
Kaka nmevutiwa sana stor yako na nmejifunza kitu ukiendekeza kichwa cha chin bhs lazima upate dhoruba na ukipata mke mweny kukuvumilia katika shida na raha bhas inakupasa umuheshimu sana,kiukwel naomba Allah anijalie tamaa za kingono niziepuke na nimuheshimu mke wangu kanivumilia san
Pia Allah azidi kukuongoza usije kurud kabisa ulipotoka japo shetan anakutaman san ila kinga peke ni sala na matendo safi

Assalam Aleikum
 
Mkuu yaani story iwe ukweli ama kutunga Ila nashukuru Sana imenipa SoMo. Ubarikiwe Sana mkuu Sina Cha kujilipa.kuna watu utakuwa umewaokota ujue
 

Mkuu umenikata moto kabisa, niikuwa na mpango wa kuchakata jirani kesho asubuhi..... Ngoja nijitafakari kwanza.
Fikiria Mara mbili mkuu,na ufikirie kwa maana zaidi
 
Allahuma amiin,..
Metropolitano waalaykumu salaam kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…