Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

"Allah hapendi kudhihirisha /kuyataja maovu isipokuwa kwa mtu ambaye pengine anatoa ushahidi katika kujiepusha na dhulma. Allah yeye ni mjuzi na msikivu." Hujatenda sawa kuelezea hatua kwa hatua juu ya machafu uliyoyatenda siku za nyuma,ilikuwa ni wajibu kwako kujuta,kuomba msamaha na kumuahidi Allah kutorudia dhambi/madhambi hayo. Katu usisimulie,fikiria kwamba hata matendo mema ,haifai kuyasimulia kwa kuchelea kukosa radhi zake Muumba. Seuze uovu unaotia hamasa natashwish kwa wengine. Allah atusamehe sote kwa yote tunayomkosea. Allahumma Aamin
 
Aise nimesoma mkasa huu kwa zaidi ya saa zima. Nimejifunza mambo mengi sana
1. Usaliti sio mzuri na ipo siku utajulikana na utakugharimu tu
2. Waajiriwa tusitegemee ajira pekee yake bali tuwe na hata biashara ndogo
3. Biashara ya mazao au chakula inalipa sana maana hakuna siku watu wataacha kula chakula.

Asante sana Mkuu kwa visa vyako. Kwa mateso uliyoyapata sisi tumepona

Nakutakia kila la heri kwenye maisha mapya baada ya kujirekebisha
 
Ahsante Kwa simulizi...

Chapter Closed...
 
Wewe ni dhaifu, mwanamke anaacha kwako, usitujumuishe wengine.
 
Hata mm naamini wapo wanawake wa hivyo
 
Ndio hapa msemo wa mwanaume hata umpe nini hatoridhika Bora ufanye kwa nafasi yako na usimtarajie sana over
 
Haya ndo maisha ya watu wengi sana kwa sasa.Na imekuja kuwa hivo automatically sijui kwann?
 
Bwana bwana asikwambie MTU,penzi LA kuiba cjui linakuwaga na nini?

Sijui kwanini?Halafu haukomi!
 
Dah asee hii story yako inafanana na yangu baadhi ya vipengele

hasa kile cha kwanza kuitishwa kikao ku confess japo me hakua make wa mtu alikua rafiki wa wife japo walikua hawana ukaribu.

Na kipengele cha mwisho kwenye mahindi namim niliingia kwenye biashara hiyo Ila me sikufanikiwa kufika hata sokoni nilipigwa Hela yote huko huko Kijijin. Maisha haya acha tu.
 
Hongera Kwa kurudi Kwa Mungu
 
Huko usa river ulikuwa unashukia wapi? Leganga ama usa police ama maji ya chai?
 
Nashukuru sana mkuu,kwa ujumbe wako huu natafuta jinsi ya kuomba mods waufute Uzi huu
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…