Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Mwanamke km hajaamua kukuacha yeye,mara nyingi hata ukiamua umpige chini inakuwa ngumu sn kuachana nae..tena km mkiwa mnafanya kazi pamoja au watu mnaoonana mara Kwa mara,ni ngumu sn kuchomoa

Kwa nijuavyo Mimi mwanamke ndy anaacha

Nimejaribu kumuacha binti Fulani mara kadhaa tena na mikwara mizito lkn akilia lia kidogo tu namrudia
 
Hatariiii
 
Haya mambo acha tu.
Nlisafiri na brother safari ndefu tukapita mkoa flani flani ambao ana mchepuko wake wa kitambo tu.

Akamla

Kesho yake alfajiri kaniachia asukani
Mwana one nacheza na zile kona kona

Mwendo wa kiafsa tu 60 80 mwisho 120.

[emoji23][emoji23]

Sasa hapo unadhani nimejifunza nn?

Ndoa acha ziitwe ndoa
 
Kwenye kupata BIKIRA hapo nimefata nyayo mkuu.
Any way sijaju huyo mkewe baadae alizingua au lah.

Narudia tena kwa wanaume wenzangu ukibahatika kupata Bikira Oa kabisa narudia tena Oa
Tena anahofu ya Allah
Oaaaaaa
Oaaaaaa
Oaaaaaa
Oaaaaaaa
Oaaaaaaa
Oaaaaaaaa
[emoji39]

Kuna mtu ataniuliza Kush umepata Bikira[emoji23]

Yec
 
Mkuu lete mzigo wote hapa, bado tunanguvu za kusoma. Lakini pia itatoa fursa ya kuweza
kukushauri vizuri!
Ingawa kutokana na hiki ulichoandika naweza kukushauri ni kuwa, achana mahusiano kabisa na hao mademu, ni wazi wanaume hatutosheki na mwanamke mmj hata awe na sifa zote za kuitwa mke lakin ni vyema kama unachepuka chepuka kwa umakini mkubwa sana.

Una mke mzuri na mcha Mungu, una bahati sana, wengi wanaochepuka chanzo huwa ni migogoro ndani ya nyumba kutokana na mke/mume kuwa pasua kichwa, sasa wewe nyumba yako iko stable lakini bado unatafuta cha mtemakuni kwa kufanya mahusiano ya kizembe. Achana na habari za kutumiana mameseji ya mara kwa mara.

Mwisho huyo mwanamke atakapochoka atakuchia uchizi sababu atakuacha au kufanya tukio likalo acha kovu milele.


Pa1 mkuu,nimetulia kidogo niwape brake watu wapumzike,tutamaliza baadae,IPO tayari yote,nimeiandika kwa wiki nzima, na ilipokamilika ndio nikaanza kuileta kwenu.
 
Kipindi cha nyuma nilikuwa nina hiyo imani ila nilipata funzo zuri tu. Kunguru ni kunguru tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…