Mahusiano ya hivi kitaalamu yanaitwaje?

Hataki kabisa kuzungumzia maisha yake ya zamani. Na mimi sijataka kwenda nae haraka. May be with time anaweza kunifungukia.

Sent using Jamii Forums mobile app
We jifanye naenda nae garatibu(maana upo kwenye gia ya chini), akija anaejua kusaundisha,utarudi hapa na mada nyingine,kwamba sijui boda kakudanganya, mara wanawake hawafai. Mpaka unamla hivyo ujue ameshapatikana.

Ila sasa,chondechonde,usije muolea kwake na ukakaa. Utaolewa mwenyewe
 
Kwani binti wa miaka 13 habebi mimba mkuu?
 
Mmh miaka 28 ana mtoto yupo form one,.
Chazo Cha huo uchumi wake ni nin urithi au mgawo kutoka Kwa mmewake coz Kwa umri huo kuwa na gari, supermarket, office ya huduma za kifedha mmh kibongobongo kweli mPambanaji.
means alipata mimba ana miaka 15,😳
 

kwani mwenyewe anasemaje kuhusu ndoa,?
 
Eti "sisi mbinu zetu ni chakavu sana mbele yao" [emoji23][emoji23]

Hapo kwenye umri wake pengine kanificha umri wake halisi au alipata zile mimba za utotoni kama ulivyobashiri.

With time nitaujua ukweli wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuta yatakuhusu
 
Eti "sisi mbinu zetu ni chakavu sana mbele yao" [emoji23][emoji23]

Hapo kwenye umri wake pengine kanificha umri wake halisi au alipata zile mimba za utotoni kama ulivyobashiri.

With time nitaujua ukweli wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye anga za uchepukaji na kupretend "wakiamua hasa kwa wanaowapenda" wametuzidi, wana mbinu sana.

Kikubwa uwe makini tu, lakini hata huo uchunguzi wako usimkere. Inaboa sana kutoaminika kwa mwenza wako
 
Mkuu, umenyumbulisha kwa ustadi wa hali ya juu sana.

Kusema ukweli, huyu binti ananiheshimu sana. Yani kuna wakati huwa navunga nimechukia, mara zote huwa anashuka na kuniomba msamaha, tena kwa upole mno, no arrogance at all.

Nimewahi kumtania mara kadhaa kuhusu kuishi nae, hakukataa. Alichosema nimpe muda aendelee kuniamini.

Likizo ya juzi nilibahatika kukutana na mwanae, akanitambulisha. Ila kuna kitu kilinipa moyo, manake alinielezea tabia za huyo mtoto wake wa kiume kwamba anafanya vizuri sana darasani ila he is too demanding, yani akitaka kitu anataka hapohapo, sasa yeye anakereka anasema hawezi kumlea mtoto hivyo hata kama anacho, kwasababu akimzoesha halafu ikatokea siku kakosa mtoto hatamuelewa. Nikamuahidi nitazungumza na dogo, ilikuwa too late coz dogo alisharudi Shule.

Kwa kifupi ni kama ananielewa ingawa simuamini sana. Pia ameniomba nimsindikize kwa mwanae siku ya visiting day, anataka nikaongee nae siku hiyo kama mwanaume mwenzangu.

She is cooperative, understanding and humble. Sema ni vile tu moyo wa mtu ni kichaka mkuu [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28]

Mkuu na mimi naishi kwangu. Nina nyumba kubwa na nzuri ambayo hata yeye aliisifia kunzia ramani.

So nikimuoa atakuja kwangu ile tutapangisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…