Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
-
- #61
[emoji23][emoji23]Ila wanaume mnataka nini? Tukiwaganda shida, tusipowanganda shida, tukiomba hela shida, tusipoomba pia shida[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Hapana, mnapenda heka heka nyie.[emoji23][emoji23]
Hatuna shida mkuu, tunataka mapenzi ya kweli. Nataka tu ku-clear my doubts.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kumdadisi zaidi, hata kumuuliza sio dhambi? Njia ingine ni kuwajua ndugu zake ndio watakupa picha ya huyo.Ndio maana nikaja kuuliza humu mkuu. Pengine kuna mtu kapitia experience kama yangu so yuko kwenye nafasi nzuri ya kunifafanulia mimi binafsi na kwa faida ya wengine pia.
Uchunguzi bado unaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna unataka kumrahishia mwenzako uteleziJitahidi unapoenda kulala kwake basi uwe na mafuta pembeni for emergency [emoji2]
[emoji23][emoji23]Hapana, mnapenda heka heka nyie.
[emoji28][emoji28] ngoja tuone mkuu. Inabdi niweke na tahadhari.Mzee we nenda na flow hayo mengine muachie yeye, kula papuchi mkuu.
Anakupenda.[emoji23][emoji23]
Hatuna shida mkuu, tunataka mapenzi ya kweli. Nataka tu ku-clear my doubts.
Sent using Jamii Forums mobile app
try it....lakini ujue kuwa ndoa si hisia za kimapenzi tu. it is something else, very complicated with life in it that you must cultivate it kila siku....... Jua kabila lake na hasa kwa nini aliachika. most important ujue kuwa alipokimbia mwenzako si pa kuingia kichwakichwa (iwe ni mwanaume au mwanamke).Kwanini mkuu? Sio kwamba umefanya fallacy of generalization? Manake wapo wanawake wenye watoto na wameachika ila ni wife material bado.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumdadisi kwa maswala mengine inawezekana ila ukigusia tu swala la mzazi mwenzake anabadilika na kuwa mwekundu. Shida ndio inaanzia hapo.Unaweza kumdadisi zaidi, hata kumuuliza sio dhambi? Njia ingine ni kuwajua ndugu zake ndio watakupa picha ya huyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbna unataka kumrahishia mwenzako utelezi
Asante kwa kunipa back up mkuu.Kwa wale wanao shangaa miaka 28 alafu ana mtoto wa kidato cha kwanza inawezekana kabisa, kama alimzaa huyo akiwa na miaka 15 ina maana huyo mtoto sasa ana miaka 13, na alianza darasa la kwanza akiwa na miaka 6 yako sahihi, vijijini huko kuna watoto wana miaka 13 Wana mimba tayali
Naendelea mkuu, tena kwa ukaribu sana.Endelea kumchunguza mdogo mdogo, pia huyo dereva boda anaweza akawa msaada wa kung'amua moja mbili tatu kuhusu dada kabla hujaamua kuingia mazima.
Issue yako ya notification update browser unayotumia tu
[emoji848][emoji28]try it....lakini ujue kuwa ndoa si hisia za kimapenzi tu. it is something else, very complicated with life in it that you must cultivate it kila siku....... Jua kabila lake na hasa kwa nini aliachika. most important ujue kuwa alipokimbia mwenzako si pa kuingia kichwakichwa (iwe ni mwanaume au mwanamke).
[emoji848][emoji28][emoji28]Anakupenda.
Mshukuru Mungu kakupa mwanamke anayejielewa.