Mahusiano ya hivi kitaalamu yanaitwaje?

1 Usirudie kwenda kulala kwa huyo dada muwe mnakutana lodge na hapo unapoishi hama asipajue kabisa.
2 Usichukue pesa yake yoyote, ukiwa na shida waombe watu ulokua ukiwaomba zamani.
Hapo kwenye kutokwenda kulala kwake nimelichukua mkuu, ila kuhusu kuhama hapa ninapoishi ni ngumu kwasababu nimejenga ni kwangu, halafu ndio kwanza nina miezi 7 tangu nihamie [emoji28].

Hela ndogondogo ninazomuomba anitumie kwenye simu ni endapo nikiwa na dharura tu, yaani labda nikiwa mbali na nataka kumtumia mtu pesa wakati huo ukute nina cash tu halafu kukawa na changamoto kwenye sim banking, haimaanishi nakuaga apeche alolo au nakopa mkuu [emoji28][emoji28]

Hata mimi mambo yangu si haba mkuu [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 28 kuwa na mtoto wa form one??aliaza utundu akIwa mdogo sana huyo,tafakari
 
Wanaume tunaitana kulewa bar sio lunch. Tena home.
 
Wewe umekuwa mwepesi kuulizia historia ya mapenzi kuliko kipato chake ?take care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…