Wakuu inakuwaje pale unapoanzisha mahusiano ya kimapenzi na binti kisha kuwekeana au kumwekea msimamo wa kufanya tendo la ndoa baada ya kuwa mmeunganishwa kwa ndoa tu, yaani hakuna kujuana kimwili mpaka ndoa, kwanini inakuwa ngumu kwa binti kuvumilia hili na kusubiri tendo la ndoa mpaka ndoa?
Au hali hiyo ni ngumu kuvumiliwa na binti asiye bikra ila kwa bikra ni tofauti hilo ni rahisi kuvumiliwa linawezekanika.
Au haitegemei na mambo ya ubikra wa binti ila inategemea na maisha, malezi, maadili na mazingira ya binti husika?
Heaven Sent
Nyenyere