Mahusiano ya kimapenzi na tendo la ndoa

Mahusiano ya kimapenzi na tendo la ndoa

Ni kweli mchumba au rafiki hasomeshwi ,hahudumiwi coz ana wazazi wake.sasa ktk kizazi hiki hao wasichana wako wapi.hao unasema Wana hofu ya mungu Ni kwa kujiita wameokoka lkn ukiwachunguza hawako jinsi wanavyotaka jamii iwaone kuwa Wana maadili.
Nashauri km unataka kuoa oa aliye tayari kuolewa,kwa sababu unaemsubiri nae anasubiriwa mahali pengine.
Kweli kabisa
 
Moja ya ndoto takataka kwa vijana ni kuwaza siku ya ndoa!!!ETI !ET!! CHETI!SHEREHE !!ET MTU NA AKILI ZAKO UNAWEKA UPUUZI KAMA HUO KICHWANI HALAFU UNAUISHI!!!!!!Hiyo ni jela ya kifikra kwa wengi!!
Ahahahaha punguza hasira
 
Nadhani ni attitude tu ambazo vijana walio wengi wamejiwekea kwenye kizazi cha sasa,

kizazi cha leo hakiwezi kutafsiri neno Mapenzi bila kutia ndani kukutana kimwili(sex) na hao ndo shida inapoanzia,

kizazi cha sasa kiujumla mapenzi kwao kwa tafsiri inayoeleweka Zaidi na inayoleta mashiko ni sex kwanza mengine ni ziada,na ndio maana inazidi kuwa vigumu siku hadi siku kwa wapenzi au wanandoa watarajiwa kuvumilia mpaka siku ya ndoa,

ila inawezekana wahusika wakiamua hilo liwezekane.
 
Back
Top Bottom