Mahusiano ya kimapenzi na tendo la ndoa

Mahusiano ya kimapenzi na tendo la ndoa

Nina manzi ni bikra ndo anamaliza chuo mwaka huu.. Unanishauri nimsubiri mpaka ndoa[emoji848][emoji848]?

Maana nina mpango wa kuvuta jiko mwakani kama mambo yatenda vizuri

Au nimkule kimasihara kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]..
Wakuu inakuwaje pale unapoanzisha mahusiano ya kimapenzi na binti kisha kuwekeana au kumwekea msimamo wa kufanya tendo la ndoa baada ya kuwa mmeunganishwa kwa ndoa tu, yaani hakuna kujuana kimwili mpaka ndoa, kwanini inakuwa ngumu kwa binti kuvumilia hili na kusubiri tendo la ndoa mpaka ndoa?

Au hali hiyo ni ngumu kuvumiliwa na binti asiye bikra ila kwa bikra ni tofauti hilo ni rahisi kuvumiliwa linawezekanika.

Au haitegemei na mambo ya ubikra wa binti ila inategemea na maisha, malezi, maadili na mazingira ya binti husika?

Heaven Sent
Nyenyere
 
Mimi kuna binti ninaye kimahusiano kwa muda wa karibu mwaka sasa, lakini kuhusu kunitunuku alisha goma kabisa mpaka nimuoe,, anadai anaweza kunitunuku halafu mi nikaishia na kumwacha, sasa kwa binti kama huyu unakuwaje wakuu?
Endelea kuvumiliana mpaka umuoe.
 
pamoja na yote Harusi inanoga vile ukiambiwa umekubali huku kijiroho kinadunda mke bikra mume bikra kila mmoja anawaza itakuwaje huko lkn harusi za ss nikama kuutangazia uma kuwa mnaenda kunyanduana ilihali hakuna jipya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ni kutoa tamko rasmi kuwa Sasa tunaenda kugegedana kihalali ,Ila Hakuna jipya ..

One love
 
Wengi wataku-judge based on your background. Kama ulishawahi kufanya kabla inawawia ngumu kukubali kuishi hivyo as they think unamkatalia yeye huku yupo anakufanya huko.

So it's tricky!
Nani amvumilie demu ambaye sio bikra...

One love
 
Nina manzi ni bikra ndo anamaliza chuo mwaka huu.. Unanishauri nimsubiri mpaka ndoa[emoji848][emoji848]?

Maana nina mpango wa kuvuta jiko mwakani kama mambo yatenda vizuri

Au nimkule kimasihara kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]..
Mkuu kula Kwanza , mademu ambao Ni bikra wanakuaga na km mkanganyiko Kwenye akili zao , Yan anaweza akawa na mahusiano hata na watu wa nne kwa wakati mmoja coz anakua hajajua maana halisi y mahusiano , me nshakua na demu bikra kumbe pembeni Kuna wadau wawili nao Yuko nao na anawaambia kabisa n bikra so kilichonisaidia n ku Huck simu yake coz alikua km hasomeki hv so baada ya kugundua na kumchana Ndo akaona aibu na akaniachia mzigo nkapiga ..Ila imani naye ikapungua ,my point is km Kweli unania naye either uongeze ukaribu Sana ,au u test mzigo usikute watu washaitoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukaja kulia Honeymoon bure

One love
 
Kwani ndoa mnafunga kienyeji ?

Mpaka mnafikia kufunga ndoa, Si kuna taratibu za kufuata pamoja na vipimo vya kiafya, kujua status zenu za afya na uwezakano kama mnaweza kuanzisha familia au la.
Vipimo ni hivyo sasa kwa sababu hatuaminiani kabisaa. Binti ukimnyima jamaa wale wale rafiki zako ndo wanaenda kumtuliza jamaa. Pili, kama kijana ana akili nzuri, lazima apime oil ka ipo level yaani injini haijatumika saana hadi kuwa "Used" mno. Tatu, binti naye, atakuwa hana uhakika na "Mtambo" anaokuja chezea. Nasema, Tuonje, hata ikiwezekana kama mna tarehe za mbali za ndoa, mmwage nje ya kambi
 
Moja ya ndoto takataka kwa vijana ni kuwaza siku ya ndoa!!!ETI !ET!! CHETI!SHEREHE !!ET MTU NA AKILI ZAKO UNAWEKA UPUUZI KAMA HUO KICHWANI HALAFU UNAUISHI!!!!!!Hiyo ni jela ya kifikra kwa wengi!!
 
Wakuu inakuwaje pale unapoanzisha mahusiano ya kimapenzi na binti kisha kuwekeana au kumwekea msimamo wa kufanya tendo la ndoa baada ya kuwa mmeunganishwa kwa ndoa tu, yaani hakuna kujuana kimwili mpaka ndoa, kwanini inakuwa ngumu kwa binti kuvumilia hili na kusubiri tendo la ndoa mpaka ndoa?

Au hali hiyo ni ngumu kuvumiliwa na binti asiye bikra ila kwa bikra ni tofauti hilo ni rahisi kuvumiliwa linawezekanika.

Au haitegemei na mambo ya ubikra wa binti ila inategemea na maisha, malezi, maadili na mazingira ya binti husika?

Heaven Sent
Nyenyere

Mkuu, nashukuru kwa kunialika nami nitoe mchango wangu. Nitaanza kwa vifungu hivi;

Wimbo Ulio Bora 2
7 Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.

Wimbo Ulio Bora 3
5 Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini,Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.

Ni mistari inayoelekeza binti ajitunze vipi katika kukua kwake. Binti ametakiwa kutochochea mapenzi kamwe kwa sababu yakishaamke haiwezekani tena kuyazuia. Huo ndio usalama pekee wa binti mcha Mungu.

Sasa ukiona binti ameshika mfanye ngono kabla, basi sababu ni hiyo. Amekwisha amsha mapenzi, amejua ladha yake na sasa mwili umewaka tamaa. Usipokata kiu yake atatafuta mtu wa kufanya hivyo kwani amekwisha amsha mapenzi.
 
Unavumilia kusubiri ndoa kumbe kuna mwenzio anajimegea taratibu.Hizi mambo pasua kichwa.Ni wadada wachache sana wako smart ktk hilo.wanamaanisha.
Pili unaambiwa mpaka ndoa kumbe mko wawili au watatu yuko kwenye sorting.
Wakuu inakuwaje pale unapoanzisha mahusiano ya kimapenzi na binti kisha kuwekeana au kumwekea msimamo wa kufanya tendo la ndoa baada ya kuwa mmeunganishwa kwa ndoa tu, yaani hakuna kujuana kimwili mpaka ndoa, kwanini inakuwa ngumu kwa binti kuvumilia hili na kusubiri tendo la ndoa mpaka ndoa?

Au hali hiyo ni ngumu kuvumiliwa na binti asiye bikra ila kwa bikra ni tofauti hilo ni rahisi kuvumiliwa linawezekanika.

Au haitegemei na mambo ya ubikra wa binti ila inategemea na maisha, malezi, maadili na mazingira ya binti husika?

Heaven Sent
Nyenyere
 
kabla ya UE/FINAL kuna TEST..
lazima UTEST uku mpaka ndoa ni UONGO MTAKATIFU.

Kuna mdada alidai BIKRA mpaka ndoa,Msela akavumilia baada ya ndoa kumbe bidada alikuwa THE MOST USED.

Kikubwa ni KUTEST masuala mpaka ndoa peleka ZENJI
Mkuu zenji kwenyewe si kila mtu bikra wengi wana bikra za mbele za nyuma zishafokolewa long time

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unavumilia kusubiri ndoa kumbe kuna mwenzio anajimegea taratibu.Hizi mambo pasua kichwa.Ni wadada wachache sana wako smart ktk hilo.wanamaanisha.
Pili unaambiwa mpaka ndoa kumbe mko wawili au watatu yuko kwenye sorting.
Kwa hiyo unadhani ukianza kuzini naye ndio atakuwa wako tu?
 
Ningekuwa mhusika katika kufungisha ndoa, ningewaliza mahusiano yenu yamedumu kwa mda gani? Mda wote hamjaonja tunda? Kama ni hapana!! Nitawaambia pambavu zenu!! Nendeni mkaonje kwanza! Mkiridhishana mje niwafungie ndoa!
 
Kwa hiyo unadhani ukianza kuzini naye ndio atakuwa wako tu?
Nimemaanisha hali ya maisha ya mahusiano ya Sasa, na kizazi cha sasa.Watu uongo umetamalaki.Hivyo namaanisha ujiridhishe kweli hiyo subiri Ni subiri iliyobeba ukweli wa kimaadili.Pia nazungumzia uzoefu,huku kuna mtu anasubiri na matunzo anatoa mara ghafla binti anavishwa pete ya uchumba na mwingine.
 
Back
Top Bottom