Mahusiano ya kimapenzi na tendo la ndoa

Mahusiano ya kimapenzi na tendo la ndoa

Mimi kuna binti ninaye kimahusiano kwa muda wa karibu mwaka sasa, lakini kuhusu kunitunuku alisha goma kabisa mpaka nimuoe,, anadai anaweza kunitunuku halafu mi nikaishia na kumwacha, sasa kwa binti kama huyu unakuwaje wakuu?

Hongera sana. Huyo usimuache,ni mwaminifu sana. Isitoshe watu wengi wanadai ni wanamwamini Mungu lakini uasherati wamehalalisha. Sasa ni mungu yupi huyo wanayemwabudu?
 
Mimi kuna binti ninaye kimahusiano kwa muda wa karibu mwaka sasa, lakini kuhusu kunitunuku alisha goma kabisa mpaka nimuoe,, anadai anaweza kunitunuku halafu mi nikaishia na kumwacha, sasa kwa binti kama huyu unakuwaje wakuu?
How old are u mkuu, sema unaweza mvumilia na usile vile vile
 
Mimi kuna binti ninaye kimahusiano kwa muda wa karibu mwaka sasa, lakini kuhusu kunitunuku alisha goma kabisa mpaka nimuoe,, anadai anaweza kunitunuku halafu mi nikaishia na kumwacha, sasa kwa binti kama huyu unakuwaje wakuu?
Mbona mi namla sana kila weeknd, piga sana tako3 subiria mkikarbia ndoa nikuachie najua utakuwa na kipururu kinoma noma[emoji23]
 
weeee hujawahi sikia mtu kaolewa na hajawahi kuguswa na mumewe wanakaa kama kaka na dada yaani hata honeymoon haikua na maajabu
Kuna dada aliwahi kuolewa na shoga, siku ya arusi mwanaume kajifanya amechoshwa sana na shughuli za harusi kajifanya ana usingizi. Kesho yake katoka usiku usiku [emoji1787][emoji1787]
 
Mimi kuna binti ninaye kimahusiano kwa muda wa karibu mwaka sasa, lakini kuhusu kunitunuku alisha goma kabisa mpaka nimuoe,, anadai anaweza kunitunuku halafu mi nikaishia na kumwacha, sasa kwa binti kama huyu unakuwaje wakuu?
wenzio wanakula
 
vijana wanaogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia, wanataka waonje ili wasaminishe kwanza alafu kizazi cha leo ngumu sana labda karne ya 15
Ila zaidi kwenye mada ninaongelea uvumilivu na utayari wa binti yaani kijana wa kiume kumtunza binti na binti husika kumuelewa na kuwa na uwezo wa kuvumilia mpaka ndoa, kutokana na experience yangu ndo nauliza, je kwann kwa mabinti limekuwa gumu hili ?
 
Back
Top Bottom