Mahusiano ya kimapenzi na tendo la ndoa

Mahusiano ya kimapenzi na tendo la ndoa

cariha unachoongea n kweli tatizo tupo kwenye dunia ambayo Imani imepungua kabisa na watu hawana matumaini Tena ,Yan mtu anaweza akakupenda kweli lakini moyoni akawa na hofu pengine akikuvumilia na ww utakua tayari kumvumilia ??

One love
Unajua kuonjana onja hovyo Kuna fanya mahusiano hayadumu kabisa, zamani watu waliooana na kujuana ndoani sikuhizi watu ni Malaya papuchi zimeharibiwa na wanaume funua funua hovyo, Sasa hapo ukioa unafikiri utatulia.
Mtu mliyepanga kuoana na mumedhamiria Bora muvumiliane Hadi ndoa bila hvo ndoa zitakufa.
 
Ukioa kisha ukakuta bwabwa unamlaumu nani?
 
Wakuu inakuwaje pale unapoanzisha mahusiano ya kimapenzi na binti kisha kuwekeana au kumwekea msimamo wa kufanya tendo la ndoa baada ya kuwa mmeunganishwa kwa ndoa tu, yaani hakuna kujuana kimwili mpaka ndoa, kwanini inakuwa ngumu kwa binti kuvumilia hili na kusubiri tendo la ndoa mpaka ndoa?

Au hali hiyo ni ngumu kuvumiliwa na binti asiye bikra ila kwa bikra ni tofauti hilo ni rahisi kuvumiliwa linawezekanika.

Au haitegemei na mambo ya ubikra wa binti ila inategemea na maisha, malezi, maadili na mazingira ya binti husika?

Heaven Sent
Nyenyere
SAsa ulijuaje situation zote mbili ? Ulishaoa bikra then ukaoa tena asie bikra ama ulipewa story
 
Wakuu inakuwaje pale unapoanzisha mahusiano ya kimapenzi na binti kisha kuwekeana au kumwekea msimamo wa kufanya tendo la ndoa baada ya kuwa mmeunganishwa kwa ndoa tu, yaani hakuna kujuana kimwili mpaka ndoa, kwanini inakuwa ngumu kwa binti kuvumilia hili na kusubiri tendo la ndoa mpaka ndoa?

Au hali hiyo ni ngumu kuvumiliwa na binti asiye bikra ila kwa bikra ni tofauti hilo ni rahisi kuvumiliwa linawezekanika.

Au haitegemei na mambo ya ubikra wa binti ila inategemea na maisha, malezi, maadili na mazingira ya binti husika?

Heaven Sent
Nyenyere

Hakuna mwenye jibu la moja kwa moja isipokuwa aliye Karibu na kujua tabia za huyo binti
 
Kwani ndoa mnafunga kienyeji ?

Mpaka mnafikia kufunga ndoa, Si kuna taratibu za kufuata pamoja na vipimo vya kiafya, kujua status zenu za afya na uwezakano kama mnaweza kuanzisha familia au la.
Hii comment yako inaniogopesha nikisikia suala la vipimo kujua status zenu za afya......
 
Natamani ningepata.mtu...tukapendana na kuvumilia mpakaNdoa...UZINZI na ZINAAA nimetokea kuzichukia Sana Sana Sana.

MOLa nipe nguvu
pamoja na yote Harusi inanoga vile ukiambiwa umekubali huku kijiroho kinadunda mke bikra mume bikra kila mmoja anawaza itakuwaje huko lkn harusi za ss nikama kuutangazia uma kuwa mnaenda kunyanduana ilihali hakuna jipya
 
Na mmoja lakini mpaka ufikie hatua ya ndoa utakua tayari umeshatumika sana , kabla ya ndoa utakutana na wasio oa, watakula watakuacha
mkuu ashasema mwenyewe ataka kujua kuwa yaliyomo.yamo.hivyo hataelewana
 
Kwani ndoa mnafunga kienyeji ?

Mpaka mnafikia kufunga ndoa, Si kuna taratibu za kufuata pamoja na vipimo vya kiafya, kujua status zenu za afya na uwezakano kama mnaweza kuanzisha familia au la.
Kwa Tz hii? Watu wanaokotana kama kuku, hskuna kupimana wala nini, cha kwanza ni ngono, na si ajabu kuambukizana magonjwa na mimba juu.
 
Wakuu inakuwaje pale unapoanzisha mahusiano ya kimapenzi na binti kisha kuwekeana au kumwekea msimamo wa kufanya tendo la ndoa baada ya kuwa mmeunganishwa kwa ndoa tu, yaani hakuna kujuana kimwili mpaka ndoa, kwanini inakuwa ngumu kwa binti kuvumilia hili na kusubiri tendo la ndoa mpaka ndoa?

Au hali hiyo ni ngumu kuvumiliwa na binti asiye bikra ila kwa bikra ni tofauti hilo ni rahisi kuvumiliwa linawezekanika.

Au haitegemei na mambo ya ubikra wa binti ila inategemea na maisha, malezi, maadili na mazingira ya binti husika?

Heaven Sent
Nyenyere
Kama alishakuwa chovya chovya, atakuwa anasumbuliwa na kiherehere cha tendo, iko hata kwa mwanaume.
 
Natamani ningepata.mtu...tukapendana na kuvumilia mpakaNdoa...UZINZI na ZINAAA nimetokea kuzichukia Sana Sana Sana.

MOLa nipe nguvu
Wengi wataku-judge based on your background. Kama ulishawahi kufanya kabla inawawia ngumu kukubali kuishi hivyo as they think unamkatalia yeye huku yupo anakufanya huko.

So it's tricky!
 
Bora kuvumilia muoane siku ya honey moon ndio mnakutana inakuwa Raha Sasa mumeshaziniana wengine vibamia, mabwawa Kuna umuhimu gani. Mtu anayekupenda serious atakuvumilia mpaka ndoa
Hakika, risks za tendo la ndoa kabla ya ndoa ni nyingi sana na za hatari kiroho na kimwili kuliko faida pamoja na hata kuikosa ndoa yenyewe.

Ni furaha na raha ilioje wote wawili kujuana badaa ya kufunga ndoa

Hili wengi limewashinda sana na matokeo yake yamekuwa mabaya sana kifamilia na kijamii.
 
Unamuacha tuu bila ata kummega ili ajua anaweza akaachika vilevile kabla hajamegwa. Na Ikiwezekana kula rafki yake wa karibu na alijue ilo
Sasa mkuu hata ukimuacha au ukimmega rafiki yake muhusika ana hasara gani ?

Sanasana matokeo ya utachokifanya si juu yako wewe na ulio wamega yeye itamuhusu vipi ?
 
Ww unaweza kuvumilia? Je ukikuta ana kiba[emoji817]?
Sasa mkuu mpaka kujua size tofauti tofauti na kuweza kuzitofautisha kwamba hii ni kibamia na hii sio kibamia huoni kuwa haya ni matokeo ya kuzoea tendo la ndoa tena na wanaume tofauti kabla ya ndoa ? na ndio moja ya matokeo hasi ninayoyaona mimi
 
Angalia nlikuwa na reply nan acha kukurupuka
 
Back
Top Bottom