Mahusiano ya kimapenzi na tendo la ndoa

Mahusiano ya kimapenzi na tendo la ndoa

Wakuu inakuwaje pale unapoanzisha mahusiano ya kimapenzi na binti kisha kuwekeana au kumwekea msimamo wa kufanya tendo la ndoa baada ya kuwa mmeunganishwa kwa ndoa tu, yaani hakuna kujuana kimwili mpaka ndoa, kwanini inakuwa ngumu kwa binti kuvumilia hili na kusubiri tendo la ndoa mpaka ndoa?

Au hali hiyo ni ngumu kuvumiliwa na binti asiye bikra ila kwa bikra ni tofauti hilo ni rahisi kuvumiliwa linawezekanika.

Au haitegemei na mambo ya ubikra wa binti ila inategemea na maisha, malezi, maadili na mazingira ya binti husika?

Heaven Sent
Nyenyere
wee kuvumilia yataka moyo eti....umevumilia mmefunga ndoa kumbe jogoo hawiki utamlaumu nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa aliyeokoka ''KWELI'' mwenye uhusiano mzuri na MUNGU inawezekana sana wakaanza kufanya tendo la ndoa baada ya Ndoa.

Wazazi wetu wengi waliokuwa na hofu ya MUNGU walifanya hivyo, suala jogoo kutowika linasuluhishwa vizuri tu kimaombi.

Tatizo watu wamepungukiwa na Imani ya kweli na Hofu ya Mungu.

Sasa watu wanaenda sawasawa na dunia inavyoenda.
 
Nimemaanisha hali ya maisha ya mahusiano ya Sasa, na kizazi cha sasa.Watu uongo umetamalaki.Hivyo namaanisha ujiridhishe kweli hiyo subiri Ni subiri iliyobeba ukweli wa kimaadili.Pia nazungumzia uzoefu,huku kuna mtu anasubiri na matunzo anatoa mara ghafla binti anavishwa pete ya uchumba na mwingine.
Umesema vema. Lakini mtu anaanzaje "kusubiri" kwa kutoa matunzo? Huko ni kuingia kwenye mahusiano moja kwa moja. Binti anayejitambua hawezi kamwe kutaka matunzo toka kwa mwanamume asiyekuwa mume wake. Hiyo ni dalili ya ukahaba. Huyu bado yuko chini ya uangalizi wa wazazi.

Pia wazazi wanaojitambua hawawezi kamwe kuruhusu binti yao apate matunzo toka kwa mwanamume ambaye wala hajathibitisha nia ya kumwoa kwa kutoa posa. Huko ni kumweka daraja moja na sex worker.

Sasa ukiona mwanamume anamhudumia binti kwa kigezo kwamba aje kumwoa, huyo ameharibika akili. Mwanamke hajaumbiwa kupenda bali hutengenezewa mazingira ya kupenda. Kile unachokiweka ndani yake ndicho atakachokirejwsha kwako. Sasa ili huyu binti awe wako inabidi umtenge na dunia, kwani wakati wewe ukiwekeza pesa, wako watakao wekeza mistari mitatu, wengine watawekeza staili za mavazi, wengine watatumia marafiki na ndugu zake wa karibu kujimegea kipande cha mkate.

Sasa kama binti hana hofu ya Mungu, utajikuta anakubali kuolewa na wewe kwa sababu tu anaona aibu umemgharimia sana lakini moyo wake uko mbali nawe. Mabinti wa kisasa wanaharibiwa na mambo yanayotrend. Hawana chanzo halisi cha hekima, wanasombwa na kila elimu mpya inayojitokeza. Ndivyo ilivyo kwa vijana wa kisasa, ndio maana utasikia mwanamume mzima anasimama kutaka haki sawa ndani ya mji wake. Asijue kwamba kufanya hivyo ni kuishambulia ndoa yake mwenyewe. A

Anyway, mambo yanakwenda kasi sana katika maisha.
 
Kwa aliyeokoka ''KWELI'' mwenye uhusiano mzuri na MUNGU inawezekana sana wakaanza kufanya tendo la ndoa baada ya Ndoa.

Wazazi wetu wengi waliokuwa na hofu ya MUNGU walifanya hivyo, suala jogoo kutowika linasuluhishwa vizuri tu kimaombi.

Tatizo watu wamepungukiwa na Imani ya kweli na Hofu ya Mungu.

Sasa watu wanaenda sawasawa na dunia inavyoenda.
Ni kweli yawezekana ila kwa dunia ya sasa iliyojaa mambwa mwitu waliojivika ngozi ya kondoo aisee ni changamoto
 
Kwani ndoa mnafunga kienyeji ?

Mpaka mnafikia kufunga ndoa, Si kuna taratibu za kufuata pamoja na vipimo vya kiafya, kujua status zenu za afya na uwezakano kama mnaweza kuanzisha familia au la.
Hakuna kipimo cha kudindisha 😂😂😂 zaidi ya kuona papuchi ikiwa inapunga hewa!

Kuna jamaa mmoja ni mgombea wa mbogamboga kijana mtanashati kabisa almaarufu sana mjini ila ana tatizo moja tu hawezi kusimamisha mnara mpaka aone mtu anagonga live. Kwahio ili agonye ke huwa anaomba support ya mwana wanaingia guest vyumba jirani halafu anakuwa anapiga chabo kwa msela anaekuwa anamsukumia uzazi manzi.

Baada ya mda network ndio inakamata nae anawahi rum yake anaenda kumpandia wakwake ndio analisongesha. Haya mambo yapo jamani.
 
Mimi kuna binti ninaye kimahusiano kwa muda wa karibu mwaka sasa, lakini kuhusu kunitunuku alisha goma kabisa mpaka nimuoe,, anadai anaweza kunitunuku halafu mi nikaishia na kumwacha, sasa kwa binti kama huyu unakuwaje wakuu?
Mimi kuna mmoja alikiwa anakuja na kunipa misimamo kama hiyoo... Kumbe ni bikraa na ana kama 20 hivi.

Nikawa namuitaaa anakula vidolee (kimoja cha kati) nikaja kuona kumbe hajawaii hapo ndo mtiti.

Anakubalii kila kitu ila hataki umguse na dyu dyu basii akawa ana enjoy romance na kidole. Mpaka akawa ana taka kuliwa sema kuna siku akawa ananiambia kuwa anahamu kwelii sema anaogopa maumivuu..

Ila anajua kilicho mkuta maana aliondoka akiwa ametolewa na saizi anasumbua balaa na anasema atakuwa ananipa nisipate tamaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using mt4 app
 
Huyo aandike maumivu tu maana kuna watu wanasamehegi mahari😂😂😂
 
Hakuna kipimo cha kudindisha 😂😂😂 zaidi ya kuona papuchi ikiwa inapunga hewa!

Kuna jamaa mmoja ni mgombea wa mbogamboga kijana mtanashati kabisa almaarufu sana mjini ila ana tatizo moja tu hawezi kusimamisha mnara mpaka aone mtu anagonga live. Kwahio ili agonye ke huwa anaomba support ya mwana wanaingia guest vyumba jirani halafu anakuwa anapiga chabo kwa msela anaekuwa anamsukumia uzazi manzi.

Baada ya mda network ndio inakamata nae anawahi rum yake anaenda kumpandia wakwake ndio analisongesha. Haya mambo yapo jamani.
sasa mtu kama huyo akioa inakuaje😂😂
 
Mimi kuna mmoja alikiwa anakuja na kunipa misimamo kama hiyoo... Kumbe ni bikraa na ana kama 20 hivi.

Nikawa namuitaaa anakula vidolee (kimoja cha kati) nikaja kuona kumbe hajawaii hapo ndo mtiti.

Anakubalii kila kitu ila hataki umguse na dyu dyu basii akawa ana enjoy romance na kidole. Mpaka akawa ana taka kuliwa sema kuna siku akawa ananiambia kuwa anahamu kwelii sema anaogopa maumivuu..

Ila anajua kilicho mkuta maana aliondoka akiwa ametolewa na saizi anasumbua balaa na anasema atakuwa ananipa nisipate tamaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using mt4 app
Duuh....yaani uyo ni kama demu wangu mmoja hv,sku ya kwanza nilimgusa kwenye maeneo yake alilegea Ila akawa analia....nikaogopa ata kumvua nguo nikamuacha na ilinipa onyo kali la kuto msogelea na kutokuja geto tena...

Sku nyingne nkamfaata kwao nikamkuta yu peke ake... nkatumia style ileile ya kumvuta akajaa Ila akawa mtata kuvua nguo...safar hii alionesha ushirikiano kdogo ktk kufanya romance...

Sa hv npo mbali nae ananiambiaga amemis sana vurugu zangu....na mwambiaga acha uoga...anasema naogopa utaniumizaa sio kwamba sipendi,afu usije ukanichezea afu ukaniacha Mana nyinyi majina yenu ni malaya Sana...
 
Mkuu yanii kama mimi hivyoo hivyoo sema mimi nilikuwa natumia busaraa nilikuwa natumia weekness yake ya ku mkiss shingonii huku anakulaa finger mixer nyonya chuchuu sasa ukipitisha finger akawa ana enjoy balaaa.

Sema nilimuomba romance ya nake bila kutoa chupi akakubaliii hapo ndo alijirogaaa.

Sema unatakiwa kuwa nao karibu maana wengi hawa juii chochote so dereva ni wewe.

Maana wao wana hadisiwa kuwa kuna maumivu makali sana siku ya kutolewa sema uki mshika vizurii kuna siku tu utaona mambo mukideee

Sent using mt4 app
 
Hakuna kipimo cha kudindisha [emoji23][emoji23][emoji23] zaidi ya kuona papuchi ikiwa inapunga hewa!

Kuna jamaa mmoja ni mgombea wa mbogamboga kijana mtanashati kabisa almaarufu sana mjini ila ana tatizo moja tu hawezi kusimamisha mnara mpaka aone mtu anagonga live. Kwahio ili agonye ke huwa anaomba support ya mwana wanaingia guest vyumba jirani halafu anakuwa anapiga chabo kwa msela anaekuwa anamsukumia uzazi manzi.

Baada ya mda network ndio inakamata nae anawahi rum yake anaenda kumpandia wakwake ndio analisongesha. Haya mambo yapo jamani.
Duuuh poleeeh zake sana, Jah atamsaidia tyuuh
 
Umesema vema. Lakini mtu anaanzaje "kusubiri" kwa kutoa matunzo? Huko ni kuingia kwenye mahusiano moja kwa moja. Binti anayejitambua hawezi kamwe kutaka matunzo toka kwa mwanamume asiyekuwa mume wake. Hiyo ni dalili ya ukahaba. Huyu bado yuko chini ya uangalizi wa wazazi.

Pia wazazi wanaojitambua hawawezi kamwe kuruhusu binti yao apate matunzo toka kwa mwanamume ambaye wala hajathibitisha nia ya kumwoa kwa kutoa posa. Huko ni kumweka daraja moja na sex worker.

Sasa ukiona mwanamume anamhudumia binti kwa kigezo kwamba aje kumwoa, huyo ameharibika akili. Mwanamke hajaumbiwa kupenda bali hutengenezewa mazingira ya kupenda. Kile unachokiweka ndani yake ndicho atakachokirejwsha kwako. Sasa ili huyu binti awe wako inabidi umtenge na dunia, kwani wakati wewe ukiwekeza pesa, wako watakao wekeza mistari mitatu, wengine watawekeza staili za mavazi, wengine watatumia marafiki na ndugu zake wa karibu kujimegea kipande cha mkate.

Sasa kama binti hana hofu ya Mungu, utajikuta anakubali kuolewa na wewe kwa sababu tu anaona aibu umemgharimia sana lakini moyo wake uko mbali nawe. Mabinti wa kisasa wanaharibiwa na mambo yanayotrend. Hawana chanzo halisi cha hekima, wanasombwa na kila elimu mpya inayojitokeza. Ndivyo ilivyo kwa vijana wa kisasa, ndio maana utasikia mwanamume mzima anasimama kutaka haki sawa ndani ya mji wake. Asijue kwamba kufanya hivyo ni kuishambulia ndoa yake mwenyewe. A

Anyway, mambo yanakwenda kasi sana katika maisha.
Ni kweli mchumba au rafiki hasomeshwi ,hahudumiwi coz ana wazazi wake.sasa ktk kizazi hiki hao wasichana wako wapi.hao unasema Wana hofu ya mungu Ni kwa kujiita wameokoka lkn ukiwachunguza hawako jinsi wanavyotaka jamii iwaone kuwa Wana maadili.
Nashauri km unataka kuoa oa aliye tayari kuolewa,kwa sababu unaemsubiri nae anasubiriwa mahali pengine.
 
Uliyesema sihusiki huna uhakika! Huku mtaani natoa mafundisho ya bure kuhusu ndoa! Wananikuali! Mmoja alisema mimi ni mpotoshaji! Ila alipoa baada ya mwaka waliachana! Akanitafuta na kuninunulia beer za uhakika, alijuta laiti angenisikiliza
 
Kuna dada aliwahi kuolewa na shoga, siku ya arusi mwanaume kajifanya amechoshwa sana na shughuli za harusi kajifanya ana usingizi. Kesho yake katoka usiku usiku [emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo ni bora tutest kwanza sio?
 
Ni kweli mchumba au rafiki hasomeshwi ,hahudumiwi coz ana wazazi wake.sasa ktk kizazi hiki hao wasichana wako wapi.hao unasema Wana hofu ya mungu Ni kwa kujiita wameokoka lkn ukiwachunguza hawako jinsi wanavyotaka jamii iwaone kuwa Wana maadili.
Nashauri km unataka kuoa oa aliye tayari kuolewa,kwa sababu unaemsubiri nae anasubiriwa mahali pengine.
Kujitangaza kuokoka sio maana halisi ya hofu ya Mungu. Hukuona wale wa kisulisuli? Ni kundi la opportunists. Wokovu ni zaidi ya kubeba Biblia na kuhudhuria ibada.
 
Back
Top Bottom