Mahusiano ya kimapenzi na tendo la ndoa

Kweli kabisa
 
Moja ya ndoto takataka kwa vijana ni kuwaza siku ya ndoa!!!ETI !ET!! CHETI!SHEREHE !!ET MTU NA AKILI ZAKO UNAWEKA UPUUZI KAMA HUO KICHWANI HALAFU UNAUISHI!!!!!!Hiyo ni jela ya kifikra kwa wengi!!
Ahahahaha punguza hasira
 
Nadhani ni attitude tu ambazo vijana walio wengi wamejiwekea kwenye kizazi cha sasa,

kizazi cha leo hakiwezi kutafsiri neno Mapenzi bila kutia ndani kukutana kimwili(sex) na hao ndo shida inapoanzia,

kizazi cha sasa kiujumla mapenzi kwao kwa tafsiri inayoeleweka Zaidi na inayoleta mashiko ni sex kwanza mengine ni ziada,na ndio maana inazidi kuwa vigumu siku hadi siku kwa wapenzi au wanandoa watarajiwa kuvumilia mpaka siku ya ndoa,

ila inawezekana wahusika wakiamua hilo liwezekane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…