Mahusiano ya kishenzi kabisa

Mahusiano ya kishenzi kabisa

Hizo ndoa ndio usiseme mkuu

Hali ni mbaya sana sana sana

Watu wanaishi ni kama wapo single, watu hawana raha, furaha haipo, amani ya moyo haipo huko paache kabisa mkuu
Kama wenye ndoa hawana furaha, na single hawana furaha. JAmii itafute sababu za furaha. Unafuu wa ndoa ni pamoja na watoto kupata malezi stahiki, wakati watoto wanaolelewa na mzazi mmoja baba au mama tupu tunawaona ukubwani wanavyokuwa
 
Mahusiano yamenifanya niyakatae kwasababu ya mambo niliyowahi kutana nayo

1. Distance relationship 2013-2019

2. 2019 nilikuwa na mtu nilimkubali mno akaenda kufuatilia alichokiita cheti mkoa Fulani hivi baada ya kufika huo mkoa hakupokea simu, alikuja kuipokea alipokua njiani anarudi mkoa nilipo plus baada ya siku 2 akasema ni mjamzito Baada yà kufika mkoani nilipo kakaa siku 5 akadai kaiona hedhi .... Nikamwambia wewe ni muhuni Tu... Tukaachana.

3. December 2022 nimepata mwingine ila changamoto akiwa nyumban au kazini ukimpigia simu anapokea vizuri Tu.. ila akitokea mtu wakati na mzungumza... Anakata simu hata usiku anafanya hivyo... Plus ukimwambia hongera kwa majukumu anasema namkejeli... Nimemaliza na naye January hii

Am single now na najihisi mwenye neema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ya mwisho kuumizwa na mapenzi ilikuwa 2018 toka hapo wao ndio wananiambia mimi naringa na nna jeuri because I care nothing about love text moja call moja usipopokea au usipojibu ndio imetoka hyo nishafunga siku kuna pisi moja kali kweli kweli nishaipiga matukio kibao ili isepe lakini bado inaniganda nikaja kugundua kumbe mwanamke ukimtunza na kumuhudia anakuganda mpaka basi.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo unamtaka humtaki?
 
Kwa wale waliowahi kupigwa block hivi maumivu huwa yanakuwaje?

Yaani ile ghafula tu unampigia huumpati, kwenye mitandao ya kijamii kama whatsapp pia kakublock
 
Kama wenye ndoa hawana furaha, na single hawana furaha. JAmii itafute sababu za furaha. Unafuu wa ndoa ni pamoja na watoto kupata malezi stahiki, wakati watoto wanaolelewa na mzazi mmoja baba au mama tupu tunawaona ukubwani wanavyokuwa
Hakika mkuu hakika
 
Sina ubavu wa kumakalia wiki, namiss kuwasiliana naye, ila nikimnunia nayeye ile ananibembeleza ndiyo napata nguvu, ya kuendelea kuuchuna.
Angekuwa naye anauchuna wee ningejibebisha, kama siyo miye niliyenuna 😃😃😃😃😃

Kwenye mapenzi mkipendana, mkasomana tabia, kila mmoja akamjua mwenzake, unaona kawaida.
Kanipa majina kama yote ticking bomb, Ambulance n.k 😄😄😄😄 weee Count Capone sitoki hapa nimefika miye.
Vinjari mama ni wazi uko
Mahali sahihi na salama

Trust me, i envy you
 
Mahusiano yamenifanya niyakatae kwasababu ya mambo niliyowahi kutana nayo

1. Distance relationship 2013-2019

2. 2019 nilikuwa na mtu nilimkubali mno akaenda kufuatilia alichokiita cheti mkoa Fulani hivi baada ya kufika huo mkoa hakupokea simu, alikuja kuipokea alipokua njiani anarudi mkoa nilipo plus baada ya siku 2 akasema ni mjamzito Baada yà kufika mkoani nilipo kakaa siku 5 akadai kaiona hedhi .... Nikamwambia wewe ni muhuni Tu... Tukaachana.

3. December 2022 nimepata mwingine ila changamoto akiwa nyumban au kazini ukimpigia simu anapokea vizuri Tu.. ila akitokea mtu wakati na mzungumza... Anakata simu hata usiku anafanya hivyo... Plus ukimwambia hongera kwa majukumu anasema namkejeli... Nimemaliza na naye January hii

Am single now na najihisi mwenye neema

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu kwa kutambua uhuni alioufanya

Na HONGERA KWA KUWA HURU ENJOY POPOTE PALE ULIPO
 
Mara ya mwisho kuumizwa na mapenzi ilikuwa 2018 toka hapo wao ndio wananiambia mimi naringa na nna jeuri because I care nothing about love text moja call moja usipopokea au usipojibu ndio imetoka hyo nishafunga siku kuna pisi moja kali kweli kweli nishaipiga matukio kibao ili isepe lakini bado inaniganda nikaja kugundua kumbe mwanamke ukimtunza na kumuhudia anakuganda mpaka basi.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Ndiyo mkuu ndiyo hiyo ndio siri
 
Hatariii ,,nitaendelea kesho kupitia ujumbe wenu nyote
 
Back
Top Bottom