Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Mapenzi ni uwanja wa fujo.Kama wanaume wanaumia sana unakuta mwanamume amechitiwa na bado ndiye alikuwa amejitoa kumhudumia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi ni uwanja wa fujo.Kama wanaume wanaumia sana unakuta mwanamume amechitiwa na bado ndiye alikuwa amejitoa kumhudumia.
Fujo kweliMapenzi ni uwanja wa fujo.
Kama wenye ndoa hawana furaha, na single hawana furaha. JAmii itafute sababu za furaha. Unafuu wa ndoa ni pamoja na watoto kupata malezi stahiki, wakati watoto wanaolelewa na mzazi mmoja baba au mama tupu tunawaona ukubwani wanavyokuwaHizo ndoa ndio usiseme mkuu
Hali ni mbaya sana sana sana
Watu wanaishi ni kama wapo single, watu hawana raha, furaha haipo, amani ya moyo haipo huko paache kabisa mkuu
Kwahiyo unamtaka humtaki?Mara ya mwisho kuumizwa na mapenzi ilikuwa 2018 toka hapo wao ndio wananiambia mimi naringa na nna jeuri because I care nothing about love text moja call moja usipopokea au usipojibu ndio imetoka hyo nishafunga siku kuna pisi moja kali kweli kweli nishaipiga matukio kibao ili isepe lakini bado inaniganda nikaja kugundua kumbe mwanamke ukimtunza na kumuhudia anakuganda mpaka basi.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Simtaki namvizia siku nimrekodi au nijaribu kupita mlango wa nyuma maana ni ruba yule demu sema najua ni shida ndio zinamfanya awe vile wala hamna kingineKwahiyo unamtaka humtaki?
Kumwambia sikutaki pia ni jambo gumu?Simtaki namvizia siku nimrekodi au nijaribu kupita mlango wa nyuma maana ni ruba yule demu sema najua ni shida ndio zinamfanya awe vile wala hamna kingine
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Hakika mkuu hakikaKama wenye ndoa hawana furaha, na single hawana furaha. JAmii itafute sababu za furaha. Unafuu wa ndoa ni pamoja na watoto kupata malezi stahiki, wakati watoto wanaolelewa na mzazi mmoja baba au mama tupu tunawaona ukubwani wanavyokuwa
Sure kabisa😁😁😁 Kash kash ziwe kiasi, mambo ya kublockiwa tena hapo inabidi ujiongeze.
Vinjari mama ni wazi ukoSina ubavu wa kumakalia wiki, namiss kuwasiliana naye, ila nikimnunia nayeye ile ananibembeleza ndiyo napata nguvu, ya kuendelea kuuchuna.
Angekuwa naye anauchuna wee ningejibebisha, kama siyo miye niliyenuna 😃😃😃😃😃
Kwenye mapenzi mkipendana, mkasomana tabia, kila mmoja akamjua mwenzake, unaona kawaida.
Kanipa majina kama yote ticking bomb, Ambulance n.k 😄😄😄😄 weee Count Capone sitoki hapa nimefika miye.
Hongera mkuu kwa kutambua uhuni alioufanyaMahusiano yamenifanya niyakatae kwasababu ya mambo niliyowahi kutana nayo
1. Distance relationship 2013-2019
2. 2019 nilikuwa na mtu nilimkubali mno akaenda kufuatilia alichokiita cheti mkoa Fulani hivi baada ya kufika huo mkoa hakupokea simu, alikuja kuipokea alipokua njiani anarudi mkoa nilipo plus baada ya siku 2 akasema ni mjamzito Baada yà kufika mkoani nilipo kakaa siku 5 akadai kaiona hedhi .... Nikamwambia wewe ni muhuni Tu... Tukaachana.
3. December 2022 nimepata mwingine ila changamoto akiwa nyumban au kazini ukimpigia simu anapokea vizuri Tu.. ila akitokea mtu wakati na mzungumza... Anakata simu hata usiku anafanya hivyo... Plus ukimwambia hongera kwa majukumu anasema namkejeli... Nimemaliza na naye January hii
Am single now na najihisi mwenye neema
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo mkuu ndiyo hiyo ndio siriMara ya mwisho kuumizwa na mapenzi ilikuwa 2018 toka hapo wao ndio wananiambia mimi naringa na nna jeuri because I care nothing about love text moja call moja usipopokea au usipojibu ndio imetoka hyo nishafunga siku kuna pisi moja kali kweli kweli nishaipiga matukio kibao ili isepe lakini bado inaniganda nikaja kugundua kumbe mwanamke ukimtunza na kumuhudia anakuganda mpaka basi.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Ngoja tuwafungulie uzi mkuuKwa wale waliowahi kupigwa block hivi maumivu huwa yanakuwaje?
Yaani ile ghafula tu unampigia huumpati, kwenye mitandao ya kijamii kama whatsapp pia kakublock
Wewe upo wapiPoleni sana wenye mko na toxic mahusiano for the sake of money/ taqo/ pisi kali/ sijui handsame man.