Mahusiano ya mapenzi na ndoa huitaji mtu mmoja mjinga, two smart people they can’t ever fall in love

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love

Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye akili mmoja so tafuta mjinga wako au wewe kuwa mjinga ili upate mwenye akili

Ni Hilo tu nawafundisha ndugu zangu
 
Mimi naona hauko sahihi, labda kama una maana nyingine ya mjinga.

Halafu epuka kutumia maneno ambayo yataonesha hujui unachokiandika.

"They can't ever"
Haya maneno yameondoa maana ya uzi wako, sababu ipo mifano mingi ya mwanaume na mwanamke ambao wote ni "Smart" kichwani.
 
Smart kichwani in public ila deep and down in life mmoja ni mwehu
 
Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love

Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye akili mmoja so tafuta mjinga wako au wewe kuwa mjinga ili upate mwenye akili

Ni Hilo tu nawafundisha ndugu zangu
Hii argument yako tunairahisisha na kuiboresha zaidi.

Mapenzi/mahusiano/ndoa inahitaji mmoja wapo au wote wawe na hekima, ili kudumu muda mrefu pasipo misukosuko...

Sometimes unakua una-act low(bwege flani hivi) sometimes neutral, muda mwingine unakubaliana(una-comply) muda mwingine unakuwa against kulingana mazingira ya scenario yakoje.

Hiyo ndio hekima, hata kama ni mkamilifu usiforce/usitafute ukamilifu kwa kila kitu utafeli,

Mambo mengine huwa hayahitaji logic kueleweka ni yanahitaji intuition(inatakiwa balance kati ya musculine na feminine)
 
Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love

Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye akili mmoja so tafuta mjinga wako au wewe kuwa mjinga ili upate mwenye akili

Ni Hilo tu nawafundisha ndugu zangu
Uchunguzi wako umeuhitimisha kikatili sana isee!

Sema nini, majibu uliyoyapata katika uchunguzi wako yapo sawa ila hujayawekea mtiririko mzuri katika recomendations za results.

Kusema moja mjinga na mwingine mwerevu hapana, wote wanakuwa na akili, isipokuwa mmoja lazima awe master na mwingine ni slave, na ni kweli upendo hautakuja kubalonce kwa wapenzi hata siku moja na hapo ndiyo penzi hunoga.

Hayo ninayokueleza hayana cha sura, elimu, ukwasi, jinsia wala madaraka.

Ndiyo maana wanaowaliza wenzao kwenye mapenzi ambao wewe ndiyo unawaita wenye akili, nao ipo sehemu hukwamishwa na kuonekana ni wapumbaf, hunyanyaswa sana na wengine hufikia kujiua wakihisi kuumizwa.
 
Mimi naona hauko sahihi, labda kama una maana nyingine ya mjinga.

Halafu epuka kutumia maneno ambayo yataonesha hujui unachokiandika.

"They can't ever"
Haya maneno yameondoa maana ya uzi wako, sababu ipo mifano mingi ya mwanaume na mwanamke ambao wote ni "Smart" kichwani.
Ndonikasema, mleta mada kakosa tu maneno ya kupachika ili aeleweke sawa sawa.

Lakini ana hoja lazima asikilizwe, maana penzi halina usmart unaotaka kuueleza hapa.

Ukiona couple imenona, usidhani hapo hakuna mtumwa wa mwenzake, lazima mmoja awe ndiye anayependa zaidi ya mwenzake.

Tupo katika point hiyo tu, tusivuke kuhusisha mambo mengine yenye kuonekana na jamii ya nje.
 
Back
Top Bottom