Uchunguzi wako umeuhitimisha kikatili sana isee!
Sema nini, majibu uliyoyapata katika uchunguzi wako yapo sawa ila hujayawekea mtiririko mzuri katika recomendations za results.
Kusema moja mjinga na mwingine mwerevu hapana, wote wanakuwa na akili, isipokuwa mmoja lazima awe master na mwingine ni slave, na ni kweli upendo hautakuja kubalonce kwa wapenzi hata siku moja na hapo ndiyo penzi hunoga.
Hayo ninayokueleza hayana cha sura, elimu, ukwasi, jinsia wala madaraka.
Ndiyo maana wanaowaliza wenzao kwenye mapenzi ambao wewe ndiyo unawaita wenye akili, nao ipo sehemu hukwamishwa na kuonekana ni wapumbaf, hunyanyaswa sana na wengine hufikia kujiua wakihisi kuumizwa.