Mahusiano ya mapenzi na ndoa huitaji mtu mmoja mjinga, two smart people they can’t ever fall in love

Una hoja ila mimi uchunguzi wangu ulibaini kuwa moyo ule wa upendo wa bila sababu unatosha kabisaa.
 
Tatizo ndoa za wenye akili hazidumu. Dakika tatu nyingi washaachana.
Sasa ndoa na mtu asiye na akili inakuaje mkuu? Kwamba uchukue goigoi tu uanze kuishi nalo? Vipi kuhusu future ya wanao ? Au unajitazama wewe tu binafsi?
 
Sasa ndoa na mtu aiye na akili inakuaje mkuu? Kwamba uchukue goigoi tu uanze kuishi nalo? Vipi kuhusu future ya wanao ? Au unajitazama wewe tu binafsi?
Mkuu, hata hao wenye akili wakiachana, future ya watoto itaingia kwenye mtanziko mkubwa.
 
Mkuu, hata hao wenye akili wakiachana, future ya watoto itaingia kwenye mtanziko mkubwa.
Mkuu mtoto pia anarithi akili kwa wazazi , kwa hiyo uoe au kuolewa na goigoi tu kwa maslahi yako binafsi bila kutazama watoto?
 
Inatakiwa watu smart wanaoweza kujishusha(Ujinga according to you)kila mmoja pale inapobidi.
 
Mkuu mtoto pia anarithi akili kwa wazazi , kwa hiyo uoe au kuolewa na goigoi tu kwa maslahi yako binafsi bila kutazama watoto?
Ingia kwenye ndoa na yeyote mnayeshibana mioyoni. Maana kipimo cha akili hakipo hapa Tanzania. .

Utajuaje huyu ana akili ama hana akili?

1. Wapo walioangalia uchakaramu ......wakaafeli.
2. Walioangalia kiwango cha elimu..... Walifeli.
3. Walioangalia mafanikio..... Walinyanyasika.

Tafuta mtu ambaye akiona hata kamasi.lako anatamani kulilamba. Akili ktk ndoa ni dhana ya kufikirika tu iliyomaanisha compatibility and incompatibility au match and mismatch amongst couples.

Mfano mlevi akimpata mlevi mwenzie utaona wanasiafiana na wanaishi mpoka kifo.
 
Mkuu japo ushauri wa wewe kunishauri mimi nitafute siutaki, ila siungi mkono mtu ajiokoteee tu goigoi .
 
Mimi ni hip hop that's why
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…