Mahusiano ya upande mmoja

Kama mlianza, ujue kuna mwisho. Jitahidi kuuelewesha moyo wako. Ni muhimu sana.
 
Oooh pole sana , unapitia kipindi kigum kwakwel.Ushaur wangu jitahid kumwelew mpenz wako ili ujue wap Pana changamoto , ukigundua kuwa ana mpango wa kando bas huna budi kufanya maamuzi."sio Kila utakae okota nae kuni ndio utaota nae moto".MOVE ON!
 
Namimi leo nimeuchuna simtumii txt wala kumpigia simu asiponitafuta siku ya Leo mpaka kesho itabidi nianze kuzoea maisha mengine ya kuishi bila uwepo wake
 
Jifunze kut ku force upendwe au umuhimu wako uonekane.
Hiyo ni dalili moja wapo kuwa muhusika hakuhitaji. Lakini kabla ya hapo muite ongea nae kujua tatizo, ila asipokuwa muwazi

Ondoka, nenda unapokubalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…