Mahusiano ya upande mmoja

Make the most of your resources to re-establish your connection to your creator.
 
1.Huenda ana machimbo mawili so anapima upepo huku na huku hakuna excuse ya mtu kutokukumbuka kimawasiliano hususan girls wanapenda chatting kuliko hata sisi wanaume.
2.Fikiria kuanzisha mahusiano mengine huku ukiendelea nae ila unajiandaa kujitoa kdg kdg
3. Huenda umemuweka kwenye comfort zone hafeel ile excitement ya mahusiano remember kutokuwa predictable and nice guy kwenye mahusiano ( apply bad boy tricks)
 
Acha ujinga.

Piga chini.
 
Kubali matokeo na ujipange kwa mahusiano mengine. Vinginevyo usiruhusu hisia zikakutawala.
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
Kama penzi anakupa moyo wake unautakia nini? Au unataka kufanya transplant?
 
Kama hujazaliwa 2000 kwenda juu sizan? Mana nyie watu wa hovyo sana ila kama umezaliwa chin ya hapo mzee mwenzangu acha usenge huo muda wa kuwaza mapenz unatoa wapii? Unalitia hasara taifa kwa kutudhalalisha wazee wenzako kudadadek wewee ndio mana hatuamkiwi kitaa kisa upumbv wako oyaa nyokoo wewe unatuahibisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…