Mahusiano ya upande mmoja

Mahusiano ya upande mmoja

Vonzelewsk

Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
55
Reaction score
70
Habari ndugu zangu member wa JF ndugu yenu yamenifika.. Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano yetu toka mwaka jana mwezi wa 11, tulianza vizuri kama mnavyojua penzi jipya simu za kila mara kutumiana txt mpaka saa 8 za usiku.

Mwezi mmoja uliopita nilianza kuona mabadiriko anitumii txt mpaka mimi nianze, apigi mpaka nianze mimi yani mimi kama nikikausha ndio basi iyo na ata akijibu basi ujibu vile.. atakavyo kama vile PW,HAYA etc.. yaani unaweza kutuma txt inayohitaji maelezo mengi lakini majibu yake ni OKAY au SAWA..

Kwa uzoefu wangu naona kabisa hapa jahazi limeshazama yaani sihitajiki lakini moyo ndio umegoma kumuacha yaani nakuwa kama mtumwa kukubali kuendelea sehemu ambayo najua tayari sipendwi.. shida nyingine ni kuwa nikimuita anipe tunda huwa anakuja bila shida.

Msaada wenu member wenzangu kama mnavyojua moyo ukishapenda akili inaacha kufanya kazi.
 
MUOe awe wako!
 
Back
Top Bottom