Mahusiano ya upande mmoja

Mahusiano ya upande mmoja

Kama hujazaliwa 2000 kwenda juu sizan? Mana nyie watu wa hovyo sana ila kama umezaliwa chin ya hapo mzee mwenzangu acha usenge huo muda wa kuwaza mapenz unatoa wapii? Unalitia hasara taifa kwa kutudhalalisha wazee wenzako kudadadek wewee ndio mana hatuamkiwi kitaa kisa upumbv wako oyaa nyokoo wewe unatuahibisha
Ni mzee mwenzako mimi
 
Hahaha hapa tu ndio nimecheka. Vijana mnapoteza muda wenu kwenye maisha sababu ya matunda.

Ashajua anakuendesha anavyotaka bc's you are pussy driven
Acha tu mkuu apo ndio namshangqa why analeta tunda kila ninapoitaji muda wowote..
 
Back
Top Bottom