Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Siku utakapoacha kuhudumia, na mahusiano yanakufaNoma sana
Kama ni wakupunguza stress za muda mfupi hakuna shida, ila kama ni wa maisha, inabidi kujipanga vizuri.Unampata wapi asiyeomba hela mkuu?
Vijana wana kazi sana kwa kweli, bora sisi tunatoa pension zetu tunawapa ili kupunguza ukali wa maisha
Hatari sana bwasheeSiku utakapoacha kuhudumia, na mahusiano yanakufa
Waache vijana watoe gesi, watoe ya moyoni msiwadhihaki.....kuna namna wanajitafuta kimapenzi, kwa sisi wakongwe tunajua wanakosea wapi.Leo mpaka mchanganyikiwe mbwa nyinyi, kila lecturer anakuja na tittle yake! Mara mnahudumi koo zetu we naye umekuja ku oppose mada lol 😆
Utazeekea kwenu weweKijana toa hela tena usisubiri kuombwa toa zaidi upate baraka kedekede
Tatizo ni nini?Kwa sasa kupata demu wa bure ni ngumu sana
Siku ukiwa huna hela itakuwaje?Kawaida sana
Sawa hata nina mpango wa kuolewa sasa 😁Utazeekea kwenu wewe
Lile gauni la kijani sikununuliiLeo mpaka mchanganyikiwe mbwa nyinyi, kila lecturer anakuja na tittle yake! Mara mnahudumi koo zetu we naye umekuja ku oppose mada lol 😆
Inabidi kubadilika harakaUnapozaliwa watu watasema umefanana na wazazi, hiyo itakuwa Stori Kipindi umezaliwa lakini unapokaribia kufa au ukiwa tayari umekufa, maamuzi yako ndiyo yatakuwa Stori Kipindi hicho... Think twice before you accept, Be smart...kuna Mzee analia huko mtandaoni sasa hivi Kwa maamuzi ya hovyo aliyofanya Kwa msichana.
Kwanini unadate na Mwanamke kama huna hela?Siku ukiwa huna hela itakuwaje?