Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Poor Brain hivi mdogo wangu wewe una hudumia au mshangazi wako anajitolea kama kazi ya kanisa?
Kiufupi mimi ndo naombaga pesa japo sio mara kwa mara

Mfano kesho kuna mmaza mmoja umesema anataka huduma ya shave 🪒 🪒 daaah nikastuka ila its oky dau lipo kubwa tuu...

Ila sasa nawaza je ntaweza kuvumilia
Napitia maisha magumu sana hawa watu wanajua kunilaghai
 
Wanasema mtaji wa masikini nguvu zake wewe mtaji wako ni ke.......de wallah mishangazi itakuua mdogo wangu😢
 
Yaaan acha kabisa mpaka sasa bi mkubwa kaingilia kati anasema mda huu sasa niachane na hayo mambo kwanini nisitafute wa rika zangu.

Ila hao wa rika zangu sasa hatuwezan mi nikiombea pesa naona sipendwi na kutoa siwezi wamama wamenizoesha vibaya
 
Yooo 😂
Ukiombwa hela ?
Hizo hela unazo😁
 
Yooo 😂
Ukiombwa hela ?
Hizo hela unazo😁
Ninazo wapi nja tupu..😀😀😀
Duu anakuta namuanzishia ugomvi wa ajabu ajabu kumbe pesa aliyoniomba sina..
We usawa huu mi uniombe 30k natoa wapi, kuna watu ka wamelogwa 😀😀😀
 
Kwa stahili hii endelea kula ndaza 🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom