Huyu nilichukua tu namba yake na tangu nichukue namba yake ilikuwa hapa imepita siku 3 tu issue hapo sio kuomba nyama nikudanganya ilikujipatia hela ndio wanawake wengi wa sasa wapo hivyo hapo yupo nyumbani kwa wazazi wake na wako vizuri anakudanga eti kala pilau bila nyama eti nimtumie hela ale nyama nilivyombana ndio kasema ukweli sasa unajiuliza kama hili dogo tu tena la kipuuzi anakudanganya ili ale hela yako kivyovyote vile atakudanganya mangapi? Ndio sample ya wanawake wengi wa Sasa wako hivyoHuyo ni binti hajajitambua na bado tegemezi mpaka nyama hawezi nunua, unamuota mwanamke kivipi?