Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Kama unapenda ile kitu yake muhudumie akae vizuri, mnunulie pants, mafuta, chakula n.k....u ll never find a free woman in this planet

Wametofautiana tu viwango wanavyohitaji
Na unaweza kufanya hivyo vyote na still ukagongewa na pia mkishagombana hawezi kukumbuka vyote hivyo ulivyofanya kwake ndio ujue mapenzi ni toxic wakati mwingine
 
MwanMke akiwa halisi hamna shida mkuu, shida ni hizo manipulative instincts wanazoona ndio way of life siku hizi. Hakuna mwanaume hajui mwanamke anahitaji mahitaji ya msingi. Shida ni wizi uliopo. 😁
Kuna mmoja siku ya sikukuu ananiambia nyumbani wamepika pilau bila nyama ananiomba basi nitumie hela ale nyama na kwao wako vizuri tu nikamwambia mbona unanidanganya pilau gani likapikwa bila nyama wakati kwenu mpo vizuri ndio akabadilika akasema naomba nimtumie ale chips na kuku, mkuu hizi ndio sample za wanawake wa dar pale wanaume tukiamua kuacha kunyenyekea **** hawa wanawake wasingetupanda kichwani
 
Wanawake wote wanajiuza. Walichotofautiana ni mbinu tu. Kuna wanaojiuza direct na wanaojiuza indirect.

Kupitia mizinga na mtazamo wake wa mambo anayoona anastahili kuyapata kutoka kwa mwanaume, utajua kama huyu anajiuza direct au indirect. Kwahiyo ni wajibu wako mwenyewe kwenda nae kwa style ipi.

Tatizo vijana wengi hawajui mwanamke gani wa kumtumia kama chombo cha starehe tu na mwanamke gani wa kuwa mke
Natafuta Ajira Wanaume wanaendeshwa na nyege shida inaanzia hapo, mwanamke akioshaona unauhitaji mkubwa wa sex directly unampa nguvu ya kucontrol laiti wangelijua hili wasingekuwa watumwa wa wanawake
 
Kuna mmoja siku ya sikukuu ananiambia nyumbani wamepika pilau bila nyama ananiomba basi nitumie hela ale nyama na kwao wako vizuri tu nikamwambia mbona unanidanganya pilau gani likapikwa bila nyama wakati kwenu mpo vizuri ndio akabadilika akasema naomba nimtumie ale chips na kuku, mkuu hizi ndio sample za wanawake wa dar pale wanaume tukiamua kuacha kunyenyekea **** hawa wanawake wasingetupanda kichwani
Naomba ela ya kula mchicha bwasi maana za nyama hamtaki basi hata ya kula bamia 😂😂
 
Natafuta Ajira Wanaume wanaendeshwa na nyege shida inaanzia hapo, mwanamke akioshaona unauhitaji mkubwa wa sex directly unampa nguvu ya kucontrol laiti wangelijua hili wasingekuwa watumwa wa wanawake
Ni kweli mwanamke anajua ukiwa desperate for sex, na anaitumia hiyo kama karata ya ku-negotiate masilahi yake.

Enzi zangu za uplay boy nilikua sitongozi mwanamke mara mbili. Ile mara ya kwanza tu asipoonyesha interest napotea moja kwa moja. Akirudi tena namwambia ukweli "wewe unataka kuleta mambo mengi mimi tayari nishamchomekea demu mwingine"

Mwanaume ukijijengea tu uwezo wa kudhibiti nyege utazuia 90% ya matatizo yako.
 
Naomba ela ya kula mchicha bwasi maana za nyama hamtaki basi hata ya kula bamia 😂😂
Aaliyyah Mama shida sio kutoa hela ukiwa kama mwanaume ni sehemu ya jukumu letu kumuhudumia mwanamke kinachotukera ni ile Hali ya kuomba omba kupitiliza na sisi wengine tumenyooka hatupendi konakona imagine mwanamke anamuua Hadi ndugu zake ilimradi tu akupige kizinga utasikia mjomba kagongwa na gari kesho utasikia Mzee wake Yuko hoi mwingine utasikia analilia hela ya lambilambi hivi mtu ukiwa mkweli Nini unapungukiwa? Si useme tu Nina shida Fulani naomba unisaidie kuliko kutoa kila siku kisingizio ili ule hela za watu mwisho wa siku utajikuta unaua ndugu zako wote alafu unarudia tena
 
Hiyo ni poor mindset mkuu, That are not low cost mzee baba. Katika miaka hii a lady aweze kuji handle kidogo

Maana wao wenyewe mwanamke aise na hela anamuona mwanaume asie na hela kama mzigo, why mwanaume asiwe na standards abebe mtu ambae ni kama yatima?
Ndio maana nikakuambia kwakuwa wote wanaomba hela, ni vizuri umtafute wa standard yako...yule anayekuomba hela unayomudu kumpa...achana na wale High classic anayekuomba laki 2 ya mafuta ya gari ili akufuate ulipo
 
Sasa mke unaweza kumfananisha na girlfriend wanaume wengi wapo kwenye mahusiano ambayo ni kama vile yeye ni baba mzazi wa mwanamke wake we imagine wanalipa Kodi za mademu, kusuka, ugonjwa, vocha,nauli,gesti, lunch n.k alafu mwisho wa siku anapata ngono pekee kwa huyo mwanamke tena kwa kupimiwa
Kwanini inakuuma hivi?
 
Kuna mmoja siku ya sikukuu ananiambia nyumbani wamepika pilau bila nyama ananiomba basi nitumie hela ale nyama na kwao wako vizuri tu nikamwambia mbona unanidanganya pilau gani likapikwa bila nyama wakati kwenu mpo vizuri ndio akabadilika akasema naomba nimtumie ale chips na kuku, mkuu hizi ndio sample za wanawake wa dar pale wanaume tukiamua kuacha kunyenyekea **** hawa wanawake wasingetupanda kichwani
Huyo ni binti hajajitambua na bado tegemezi mpaka nyama hawezi nunua, unamuota mwanamke kivipi?
 
Ni kweli, na pia unaweza usifanye hayo na ukagongewa pia. Mwanamke akiamua kugongwa atagongwa tu na huwezi kumchunga
Point yangu kuu unapoamua kufanya mambo makubwa kwa mpenzi wako angalia na mwanamke unayemfanyia je na wewe unafaidika kutoka kwake nje ya sex kama usipolijua hili ndio utakuja kupata maumivu makubwa ndio maana Kuna watu wanajua kwasababu ya vitu kama hivi but kwa mwanaume ambaye amefaidika kwenye mahusiano yake hata akija kupigwa na kitu kizito na mpenzi wake huyo maumivu yake hayawezi kufanana na mwanaume ambaye ambaye ameinvest vikubwa bila kufaidika na chochote kile ukitoa sex
 
Siumii ila natoa darasa kwa wadau maana kwenye vikao vyetu malalamiko ya namna hii yamekuwa mengi ndio tunatumia hili kuelimisha wengine
Sijaelewa somo hapo ni lipi? Nafikiri mshauriane kutulizana au muoe! Hii ya kujiokoteza mabinti mkitaka mjipigie tu kama mnapiga mpunga haipendezi! Unapotaka kupita na mabinti za watu bila kuwajibika ujitafakari sana!
 
Back
Top Bottom