Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Ishu sio kuomba, ishu unaomba kwa ajili ya kitu gani?
Umeomba vocha, ndio upewe laki?
Shida waga inaanzia hapo, mtu anakuomba mafuta 100k kwa wiki na anatunia Mazda verisa. Unaona kabisa ni muongo. 😁
Basi sasa ombaomba wanatofautiana katika utendaji kazi😅
 
Wanawake wote wanajiuza. Walichotofautiana ni mbinu tu. Kuna wanaojiuza direct na wanaojiuza indirect.

Kupitia mizinga na mtazamo wake wa mambo anayoona anastahili kuyapata kutoka kwa mwanaume, utajua kama huyu anajiuza direct au indirect. Kwahiyo ni wajibu wako mwenyewe kwenda nae kwa style ipi.

Tatizo vijana wengi hawajui mwanamke gani wa kumtumia kama chombo cha starehe tu na mwanamke gani wa kuwa mke
 
100k mtaji wa Brenda moja , kameza kadogo na pesa ya kuanzia matunda , una pata kaofisi ka juice kakutengenezea 5000 kwa siku

Hizi akili hawataki mkuu! Trust me. 😁
Kuna mmoja yeye anapenda sana pafyumu, yani pafyumu yake ikiisha ni mchecheto, na ilikuwa ina bei changamfu.
Nikamwambia hii pafyumu yako kwanini huko kijiweni kwako, unakosema inapendwa sana usiwe unauza kwa kuipima?
Kwanini nisikununulie lichupa likubwa, ukalivunja kwenye chupa ndogo, ukauza 25k.
kaona ni wazo zuri, mpaka leo anauza pafyumu ile kwa kuipima, kuwauzia wenzie.
Na sijawahi toa tena pesa ya pafyumu. 😁
 
Hizi akili hawataki mkuu! Trust me. 😁
Kuna fala mmoja yeye alikuwa anapenda sana pafyumu, yani pafyumu yake ikiisha ni mchecheto, na ilikuwa inatembea kidogo kwa bei. Nikamwambia hii pafyumu yako kwanini huko kijiweni kwako, unakosema inapendwa sana usiwe unauza kwa kuipima?
Kwanini nisikununulie lichupa likubwa, ukalivunja kwenye chupa ndogo, ukauza 25k. kaona ni wazo zuri, mpaka leo anauza pafyumu ile kwa kuipima, kuwauzia wenzie. 😁
Ni kwa nini hawataki mawazo mazuri kama haya na mtaji unampa?
 
Hivi kwani hamuwezagi kutuliza mboo zenu????? mbona inawezekana, hivi ukituliza mboo ni nani atakuomba hela????

Binafsi nimeweza kukaa bila mpenzi na Sina mpenzi na siwezi toa hela kisa Ku....ma za wanawake.

Na maisha yanaenda vzr na Nina songa mbele
Sex imekua overrated sana. Nafikiri sababu ni hii mitandao ya kijamii na nyimbo za wasanii za kuamasisha uzinzi
 
Me ninacho kidemu cha shule ya upili, nakihudumia vizuri na kikitaka kinaniita sehemu nakipa kitu kinapenda maisha yanaendelea, sihtaji tena hawa wa vikoba kausha damu kila siku tunapigana mizinga.
 
Back
Top Bottom