Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Unamfungulia hata stationary , saluni , genge , au duka la mangi , hawezi kosa pesa ndogo ndogo za kutatua mambo yake binafsi.
Good idea, ila ndio hivyo kuna wengine hata Mwanamke wake akimweleza hilo jambo tayari atakunja uso kama sio kukasirika sana...There is no free Woman
 
Back
Top Bottom