Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Kama unapenda ile kitu yake muhudumie akae vizuri, mnunulie pants, mafuta, chakula n.k....u ll never find a free woman in this planet

Wametofautiana tu viwango wanavyohitaji
Kufanya hivyo ni kutengeneza tegemezi/ombaomba.
 
Kuomba hela sio tatizo kabisa , ila tatizo kwangu ni hiyo hela anaenda kuifanyia kitu gani ili kupata hela nyingine zaidi, ndio hapo nitajua akili zimo au hazimo.
Siku zote yeye ni ombaomba tu, ata kukununulia soksi anashindwa.
 
Back
Top Bottom