Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Tafuta mwanamke mmoja anaekupenda then mpe hela tena za kawaid tu,Mbna simple tu na hautakuja tena na nyuzi za kulalamika kuombwa hela....
Unadhan tz nzima unaombwa wewe peke ako? Au unadhani sisi hatuombwi hizo hela?...

Ukiona mapenz yamekushinda anza kununua malaya tu...
 
Hapo hakuna mpenzi, bali umepata msaidizi wa kula hela zako. Unakuwa na mwanamke asiyekushauri namna ya kutafuta hela, bali yeye anakushawishi namna ya kutumia hela ulizozitafuta kwa jasho, juwa kabisa hapo hakuna mapenzi.
Uko na mwanamke, kuja kwako anaomba nauli, vocha, salon, yaani ni kama vile akiona simu yako ameona UN

Huyo si mwanamke wa kuwa nae ni omba omba
 
Tafuta mwanamke mmoja anaekupenda then mpe hela tena za kawaid tu,Mbna simple tu na hautakuja tena na nyuzi za kulalamika kuombwa hela....
Unadhan tz nzima unaombwa wewe peke ako? Au unadhani sisi hatuombwi hizo hela?...

Ukiona mapenz yamekushinda anza kununua malaya tu...
Mwisho wa kuombwa hela ni lini?
 
Back
Top Bottom