Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 3,289
- 5,964
Lengo la kuchukua namba ni lipi? Au unataka kujenga nae undugu? Kwasababu km ni mahusiano & you want s'thing from Her...then ProvideKuna demu nimechukua namba yake kama siku tata hivi, leo amenipigia simu na kuniomba 10k eti anasema akasuke! Hapo kuna mahusiano kweli?