Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Good idea, ila ndio hivyo kuna wengine hata Mwanamke wake akimweleza hilo jambo tayari atakunja uso kama sio kukasirika sana...There is no free Woman
Yani ukifanya hivyo, unapunguza usumbufu , na hata chumvi ikiisha ndani wewe ukiwa kwenye pombe zako huko anajiongeza , kwa sababu anacho kitu cha kumuingizia pesa , kuliko kumpa samaki kila kila siku wewe unamnunulia nyavu akavue samaki , ukiona bado anataka samaki na umempa nyavu , jua huyo chenga
 
Unaweza kumtaja mmoja kama sample?
leo3.jpg
 
Yani ukifanya hivyo, unapunguza usumbufu , na hata chumvi ikiisha ndani wewe ukiwa kwenye pombe zako huko anajiongeza , kwa sababu anacho kitu cha kumuingizia pesa , kuliko kumpa samaki kila kila siku wewe unamnunulia nyavu akavue samaki , ukiona bado anataka samaki na umempa nyavu , jua huyo chenga
Surely, Hii ni elimu wanapaswa kufahamu wengi wetu...lakini pia inategemea na akili ya huyo Mwanamke again
 
Back
Top Bottom